kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kwani huko chadema alikua na cheo gani vile!Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Nakubaliana na wewe Kwa asilimia 100, the guy is so smart upstairs ila tunachotakiwa kujua ni kwamba ukishaingia kwenye Ulaji wa Nchi (CCM) lazima uanze kuwaza na kufikiria kama wao.Kitila ama uwezo mkubwa. Shida ni hiyo njaa yake inayomfanya awe chawa. Ila uwezo anao
Uprofesa sio title ka,kama ni simple kawe profesa , Tanzania hii maprofesa walio active hawafiki hata 90 unaita ka,be seriousLabda ungelitaja mapungufu then tokatoa feelings, reasoned ones tuweke nondo hapa.
All in all, ka title ka Uprofesa kanambeba na kujikomba kwingi. Profesa toka jalalani (as per Kabudi)
Majungu, mdomo mrefu na kuwa na uwezo wa kuondoa akili za uprofesa kichwani na kuziweka pembeni kwa kusifia kisichokuwepo kwa macho makavu mchana kweupe bila uficho ndio kigezo namba moja katika jamhuri ya kusadikika.Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Aliteuliwa kwa sababu alitoka Chadema akiwa na akili timamu, shida ilianza alipochanganywa na magarasa ya CCM.Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
pipa na mfuniko, kila mmoja haoni pa kutia sahihi
Kwa kujibu swali lako, nami nitauliza swali:Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Hivi mara hii tu utakuwa umesahau kuwa ndiye mtu wa DPWorld? Huyu ndiye kishoka wa Samia.Majukumu ya Waziri pamoja na kusimamia sera/ilani ni kumshauri Rais, hili mnaliona?
100%Nakubaliana na wewe Kwa asilimia 100, the guy is so smart upstairs ila tunachotakiwa kujua ni kwamba ukishaingia kwenye Ulaji wa Nchi (CCM) lazima uanze kuwaza na kufikiria kama wao.
That's huge mistake the system is doing 🥲🙌
Kitila hana uwezo wowote . Ni Nape aliyechangamka. Kitila ni chawa mzoefu. Huyu jamaa hana uwezo Ila ni chawa, wa uhakika. Anaweza kupenya sehemu yeyote kwa kutumia u chawa. Kwa waliosoma nae Mwenge sec, Singida 1988-1991 na pia Pugu high school 1992 -1994 ,wanasema jamaa , ni kilaza sana darasani, na kwamba hakuwahi kupata div one au two, iwe O level au A level. Akifaulu sana div three. Ingawa alipata div three pale Pugu, katika combination ya PCB alipenya na kuingia UD. Pale UD hakuwa na GPA ya kuwa, lecturer lakin alipenya na kuwa, lecturer. Jamaa alifanya PhD ya masturbation pale UK. Na amepenya na kuwa wazir wa uwekezaji.Kitila ama uwezo mkubwa. Shida ni hiyo njaa yake inayomfanya awe chawa. Ila uwezo anao
Kwa nini unashindwa kupata majibu?Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.
Hii hadhi ya u-'profesa' Tanzania haina maana yoyote. Weka machapisho na kazi zake hapa zilizompa huo u-profesa tuyaone kabla ya kudai "heshima".Kwanza mpe heshima yake profesa, maana kusoma sio jambo la mchezo .Kisha tutaendelea na mengine
Tuzidi kuikabidhi Nchi yetu kwenye maombi, huenda tukaja kupata Viongozi sahihi wakati mwingine100%
Nimeona ni vema nishirikishe umatiKwa nini unashindwa kupata majibu?
Kwa nini unashindwa kupata majibu?Nimeona ni vema nishirikishe umati
Najua unachokitaka lakini sitasema kwa sababu za kimaadiliKwa nini unashindwa kupata majibu?
Nilitegemea uniambie sifa za mtu kuwa waziri ni hizi na hizi, Kitila hana, sijaelewa kateuliwa vipi.
Mfano, sifa za kuwa Waziri ni kuwa Mbunge, Kitila si Mbunge, sijaelewa kateuliwa vipi kuwa Waziri?
Hapo ungeeleweka.
Sasa hivi hueleweki huelewi nini.