kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kwani huko chadema alikua na cheo gani vile!Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo: Sitaki atukanwe au adhalilishwe, nimeuliza hili kwa Maslahi Mapana ya Taifa
Naomba kuwasilisha.