Samia kafika mwisho wa utawala wake,ana jipya sema kinachombeba ni unafiki wa viongozi wa vyombo vya Usalama.Walipaswa wawe wamemwambia apumzike!Naona anajiwekea wingo. Wengi wa walioteuliwa walikuwa kwenye hizo wizara, na hapakuwepo na ufanisi. Sasa anapotenga wizara moja na kuzifanya kuwa mbili, huu ni mzingo anawaongezea wananchi na matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Lile povu la kitila kutetea DP world limelipa kwa hakikaRais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-
DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha
Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-
DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo
Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
View attachment 2679459
Kwa mujibu wa Bi mchele hapo ndo ametumia akili mpaka mwisho ,Mbona tutakoma mwaka huu jamaaniHivi kuzigawa wizara tena ndio suluhisho la matatizo? Ndio kutaondoa kelele zilizopo sasa? Tumetoka huko kwenye mawizara mengi, tunarudi tena? What is happening? Mbona kila move ni ya kubomoa na si kujenga?
Kwa herufi kubwa, rais na mamlaka inayohusika kumshauri rais Samia wamekosea sana kumpatia wizara Prof. Kitila, kitaaluma ni Mwl tena wa education ambayo haihusiani kabisa na mipango. Kosa la pili ni ndugu Lawrence Mafuru, huyu ndiyo kabisa mtu wa mambo ya fedha hana utalaamu wa mipango. Nafasi ya Mafuru alipaswa kupewa Dkt MursaliRais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-
DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha
Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-
DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo
Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
View attachment 2679459
Ulivyandikwa huu waraka, ni kama mtu anakimbizwa na Simba.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-
DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha
Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-
DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo
Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara
View attachment 2679459
Na sisi Tanzania ni wakati sasa wa kuwa na katiba mpya nzuri inayounda taasisi imara, mathalani mahaama zenye mamlaka kamili za kumdhibiti huyu mungu - mtu mpangaji wa ikulu yetu aitwaye "Rais" kama ilivyo hivi huko Kenya...!Katiba haisemi serikali ya Tanzania itakuwa na wizara ngapi, mawaziri wangapi, manaibu mawaziri na makatibu wakuu ? Wala mikoa na wilaya ngapi. Ni mkuu wa nchi ikimpendeza anaunda mikoa, wizara, wilaya....
Nchi jirani katiba inatamka idadi za wizara na viongozi wakiwemo mawaziri watakuwa wangapi ... Mahakama Kuu nchini Kenya imefuta uteuzi wa nyadhifa 50 wakiwemo Manaibu Mawaziri na kuutaja kuwa uteuzi .. ni kinyume na katiba ..
Kulingana na majaji hao, Kanyi Kimondo, Hedwig Ongudi na Alnashir Visram, uteuzi wa CASs hao uliofanywa na Rais Wiliam Ruto mwezi wa Machi ulikiuka katiba na kwamba Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) haikuendesha shughuli za kushirikisha umma inavyopasa.
HABARI KAMILI
3 Jul 2023
Nairobi, Kenya
MAHAKAMA YA JUU Kenya: Makatibu (mawaziri) 50 wa rais wamewekwa kinyume cha Katiba na sheria
Majaji walisema nafasi za CASs 50 walioteuliwa na Rais Ruto ni kinyume cha katiba na hivyo hawafai kuchukua nyadhifa hizo
Uamuzi wa Mahakama ya Juu sasa unatoa pigo kubwa kwa Rais William Ruto, ambaye alikuwa amejiwekea nafasi hiyo kuwatuza wafuasi wake. Picha: Reuters
Mahakama Kuu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, imetangaza nyadhifa 50 za juu za mawaziri kuwa ni kinyume cha sheria.
Katika uamuzi wao wa Jumatatu, majaji Hedwig Ong’udi, Aleem Visram na Kanyi Kimondo walisema Makatibu Wakuu 50 wa Utawala (CASs), ambao waliteuliwa na Rais William Ruto mnamo Machi, hawafai kushika nyadhifa zao.
CASs ni sawa na makatibu wasaidizi, nafasi ambayo ilitupiliwa mbali baada ya Kenya kupitisha Katiba ya 2010.
Benchi la majaji watatu lilisema "hawafikirii ilikuwa nia ya waundaji wa katiba kuwa na CASs 50 naibu waziri 22."
Majaji hao walisema kwamba mtendaji huyo hakushiriki ipasavyo na umma kabla ya kuchagua nyadhifa 50 za CAS.
Zawadi ya walioshindwa kwenye uchaguzi
Ruto alikuwa amewateua wanasiasa kadhaa kwa nyadhifa za CAS, wengi wao wakiwa walioshindwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022.
Gavana mkuu wa Nairobi, Evans Kidero, na mwanamuziki aliyegeuka kuwa mwanasiasa Charles Njagua, ambaye jina lake la kisanii ni Jaguar, walikuwa miongoni mwa waliochaguliwa kuhudumu kama CAS.
Nafasi ya CAS iliundwa kwa mara ya kwanza na mtangulizi wa Ruto, Uhuru Kenyatta, mnamo Januari 2018.
Serikali iliyojaa
Akihalalisha kuundwa kwa nafasi hiyo mpya, Kenyatta alisema wasimamizi wa ofisi husika "watasaidia makatibu wa baraza la mawaziri kuendesha hati mbalimbali."
Rais huyo wa zamani alikuwa na takriban CAS 30, huku Ruto, ambaye aliingia madarakani Septemba 2022, aliongeza idadi hiyo hadi 50, na kusababisha mahakama kuchangamka.
Kama CASs zingeshika nyadhifa chini ya utawala wa Ruto, zingegharimu Wakenya jumla ya Ksh460 milioni ($3.3 milioni) katika mishahara ya jumla kila mwaka
Hili suala ndo linachangia Elimu yetu kuporomokaa, hivi shule inapelekwa Tamisemi kwa kipii?? Kwann wasiachee kwa wizara ya Elimu?Nchi zingine Rais haundi wizara bila Bunge kujadili na kupitisha...
Binafsi hakuna kitu kinanikera kama shule kuzipeleka wizara ya Tamisemi...
Yaani kuna wizara ya elimu ina dili na shule na bado tuna wizara ya Tamisemi ina dili na shule
Kheeeeh kumbe walianziaaa mbaliiii? Tobaaaaah!!!!DP world inangwa vizuri , tujiongeze kuukataa huu mkataba
Sasa shule iko kwenye nn? Km sio Elimu??Tamisemi wanadili na Shule Wizara ya Elimu inadili na Elimu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajabu kwa kweliiiKwa mujibu wa Bi mchele hapo ndo ametumia akili mpaka mwisho ,Mbona tutakoma mwaka huu jamaani
Haki yako kusema usitukane tu,wakati wa bwana wko magufuli usingethubutu kusema hivyo sote tuliufyata ukimsema unapotea kama alivyopotea Ben saanane alipohoji doctorate yake au kama alipopigwa marisasi tundu lissu baada ya kukosoa kuhusu makanika kw hivyo endeleeni tu kukosoa kila kitu akeshaondoka mtamkumbuka .Doing what she does best, being incompetent and predictable.
Kuongeza gharama za serikali kwa kuweka uoza ule ule.
Anyways wakati wake huu.
PoleeUlivyandikwa huu waraka, ni kama mtu anakimbizwa na Simba.
Maana imeandikwa Lilongwe (Nchi ?), 05 julai, 2023........ Hivi Rais yupo Lilongwe....(nchi?) ?
True. Kitila kazawadiwa kwa ajili ya Utetezi wake kwenye Bandari. Kitendo o cha yeye kuwa mchangiaji wa kwanza Bungeni kwenye issue ya bandari tayari ilionyesha mwelekeo.Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.
Tusi liko wapi hapo??Haki yako kusema usitukane tu,wakati wa bwana wko magufuli usingethubutu kusema hivyo sote tuliufyata ukimsema unapotea kama alivyopotea Ben saanane alipohoji doctorate yake au kama alipopigwa marisasi tundu lissu baada ya kukosoa kuhusu makanika kw hivyo endeleeni tu kukosoa kila kitu akeshaondoka mtamkumbuka .