Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Naona anajiwekea wingo. Wengi wa walioteuliwa walikuwa kwenye hizo wizara, na hapakuwepo na ufanisi. Sasa anapotenga wizara moja na kuzifanya kuwa mbili, huu ni mzingo anawaongezea wananchi na matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Samia kafika mwisho wa utawala wake,ana jipya sema kinachombeba ni unafiki wa viongozi wa vyombo vya Usalama.Walipaswa wawe wamemwambia apumzike!
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.

---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji

Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-

DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha

Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-

DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo

Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara

View attachment 2679459
Lile povu la kitila kutetea DP world limelipa kwa hakika
 
Hivi kuzigawa wizara tena ndio suluhisho la matatizo? Ndio kutaondoa kelele zilizopo sasa? Tumetoka huko kwenye mawizara mengi, tunarudi tena? What is happening? Mbona kila move ni ya kubomoa na si kujenga?
Kwa mujibu wa Bi mchele hapo ndo ametumia akili mpaka mwisho ,Mbona tutakoma mwaka huu jamaani
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.

---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji

Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-

DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha

Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-

DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo

Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara

View attachment 2679459
Kwa herufi kubwa, rais na mamlaka inayohusika kumshauri rais Samia wamekosea sana kumpatia wizara Prof. Kitila, kitaaluma ni Mwl tena wa education ambayo haihusiani kabisa na mipango. Kosa la pili ni ndugu Lawrence Mafuru, huyu ndiyo kabisa mtu wa mambo ya fedha hana utalaamu wa mipango. Nafasi ya Mafuru alipaswa kupewa Dkt Mursali
Milanzi a genius na msomi mbobevu kwenye mipango. Wizara ya Mipango alipaswa kupewa Dkt Kimei, mtendaji mkuu Dkt Mursali Milanzi. Nina uhakika hiyo team aliyoweka Dkt Samia ya walioshindwa enzi za Dkt Kikwete ni shimo la kumdidimiza sana rais Samia na utendaji wake. Hasa akina Mafuru, Msechu alipaswa kuwaweka pembeni au angewafanya kuwa washauri wake lakini siyo kuwa sehemu ya serikali kwa sababu capable na wenye weledi ni wengi mno. Yetu macho ila very soon akisikia ushauri wa watanzania hao vibaraka na wafia tumbo awatoe. Hata wizara ya Fedha Mwigulu ni muongo na hafai maana kasababisha Rais Samia apungukiwe na kura kibao kwa sababh ya uelewa mdogo wa Dkt Mwigulu kuhusu maisha ya watanzania zaidi ya kuwataka wahamie burundi
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.

---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mbunge wa Jimbo la Ubungo) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji

Ni baada ya kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais
-

DKT. MWIGULU NCHEMBA AWA WAZIRI WA FEDHA

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Fedha na kumteua Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Fedha

Hapo awali alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango
-

DKT. ASHATU KIJAJI AWA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara ya Viwanda na kumteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji kuwa Waziri wa Wizara hiyo

Hapo awali alikuwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara

View attachment 2679459
Ulivyandikwa huu waraka, ni kama mtu anakimbizwa na Simba.
Maana imeandikwa Lilongwe (Nchi ?), 05 julai, 2023........ Hivi Rais yupo Lilongwe....(nchi?) ?
 
Katiba haisemi serikali ya Tanzania itakuwa na wizara ngapi, mawaziri wangapi, manaibu mawaziri na makatibu wakuu ? Wala mikoa na wilaya ngapi. Ni mkuu wa nchi ikimpendeza anaunda mikoa, wizara, wilaya....

Nchi jirani katiba inatamka idadi za wizara na viongozi wakiwemo mawaziri watakuwa wangapi ... Mahakama Kuu nchini Kenya imefuta uteuzi wa nyadhifa 50 wakiwemo Manaibu Mawaziri na kuutaja kuwa uteuzi .. ni kinyume na katiba ..

Kulingana na majaji hao, Kanyi Kimondo, Hedwig Ongudi na Alnashir Visram, uteuzi wa CASs hao uliofanywa na Rais Wiliam Ruto mwezi wa Machi ulikiuka katiba na kwamba Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) haikuendesha shughuli za kushirikisha umma inavyopasa.

HABARI KAMILI

3 Jul 2023
Nairobi, Kenya

MAHAKAMA YA JUU Kenya: Makatibu (mawaziri) 50 wa rais wamewekwa kinyume cha Katiba na sheria​

Majaji walisema nafasi za CASs 50 walioteuliwa na Rais Ruto ni kinyume cha katiba na hivyo hawafai kuchukua nyadhifa hizo

Kenya: Makatibu 50 wa rais wamewekwa kinyume cha sheria

Uamuzi wa Mahakama ya Juu sasa unatoa pigo kubwa kwa Rais William Ruto, ambaye alikuwa amejiwekea nafasi hiyo kuwatuza wafuasi wake. Picha: Reuters
Mahakama Kuu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, imetangaza nyadhifa 50 za juu za mawaziri kuwa ni kinyume cha sheria.

Katika uamuzi wao wa Jumatatu, majaji Hedwig Ong’udi, Aleem Visram na Kanyi Kimondo walisema Makatibu Wakuu 50 wa Utawala (CASs), ambao waliteuliwa na Rais William Ruto mnamo Machi, hawafai kushika nyadhifa zao.

CASs ni sawa na makatibu wasaidizi, nafasi ambayo ilitupiliwa mbali baada ya Kenya kupitisha Katiba ya 2010.

Benchi la majaji watatu lilisema "hawafikirii ilikuwa nia ya waundaji wa katiba kuwa na CASs 50 naibu waziri 22."
Majaji hao walisema kwamba mtendaji huyo hakushiriki ipasavyo na umma kabla ya kuchagua nyadhifa 50 za CAS.

Zawadi ya walioshindwa kwenye uchaguzi​

Ruto alikuwa amewateua wanasiasa kadhaa kwa nyadhifa za CAS, wengi wao wakiwa walioshindwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022.

Gavana mkuu wa Nairobi, Evans Kidero, na mwanamuziki aliyegeuka kuwa mwanasiasa Charles Njagua, ambaye jina lake la kisanii ni Jaguar, walikuwa miongoni mwa waliochaguliwa kuhudumu kama CAS.

Nafasi ya CAS iliundwa kwa mara ya kwanza na mtangulizi wa Ruto, Uhuru Kenyatta, mnamo Januari 2018.

Serikali iliyojaa
Akihalalisha kuundwa kwa nafasi hiyo mpya, Kenyatta alisema wasimamizi wa ofisi husika "watasaidia makatibu wa baraza la mawaziri kuendesha hati mbalimbali."
Rais huyo wa zamani alikuwa na takriban CAS 30, huku Ruto, ambaye aliingia madarakani Septemba 2022, aliongeza idadi hiyo hadi 50, na kusababisha mahakama kuchangamka.
Kama CASs zingeshika nyadhifa chini ya utawala wa Ruto, zingegharimu Wakenya jumla ya Ksh460 milioni ($3.3 milioni) katika mishahara ya jumla kila mwaka
Na sisi Tanzania ni wakati sasa wa kuwa na katiba mpya nzuri inayounda taasisi imara, mathalani mahaama zenye mamlaka kamili za kumdhibiti huyu mungu - mtu mpangaji wa ikulu yetu aitwaye "Rais" kama ilivyo hivi huko Kenya...!
 
Nchi zingine Rais haundi wizara bila Bunge kujadili na kupitisha...
Binafsi hakuna kitu kinanikera kama shule kuzipeleka wizara ya Tamisemi...
Yaani kuna wizara ya elimu ina dili na shule na bado tuna wizara ya Tamisemi ina dili na shule
Hili suala ndo linachangia Elimu yetu kuporomokaa, hivi shule inapelekwa Tamisemi kwa kipii?? Kwann wasiachee kwa wizara ya Elimu?

Kingine mambo ya Ajira, kwann wizara ya Tamisemi inahusika, huku wizara ya Ajira ipo na haifanyii kazi suala LA Ajira??nn maana yake??
 
Doing what she does best, being incompetent and predictable.

Kuongeza gharama za serikali kwa kuweka uoza ule ule.

Anyways wakati wake huu.
Haki yako kusema usitukane tu,wakati wa bwana wko magufuli usingethubutu kusema hivyo sote tuliufyata ukimsema unapotea kama alivyopotea Ben saanane alipohoji doctorate yake au kama alipopigwa marisasi tundu lissu baada ya kukosoa kuhusu makanika kw hivyo endeleeni tu kukosoa kila kitu akeshaondoka mtamkumbuka .
 
Ulivyandikwa huu waraka, ni kama mtu anakimbizwa na Simba.
Maana imeandikwa Lilongwe (Nchi ?), 05 julai, 2023........ Hivi Rais yupo Lilongwe....(nchi?) ?
Polee
 
Kuongeza mzigo wa kuendesha serikali, na kumonopolise manouver za kuuza nchi
 
Mama Yetu anatapa tapa tu, hajui hata anafanya nini, reaction ya watanzania dhidi ya mkataba wa bandari imemvuruga kabisa, ni kama vile haamini macho yake.
 
"Kitufe cha kubonyeza" Kiko wapi ligi kuu inaanza nataka kuangalia mechi!!!
 
SAFI SANA NA HONGERA RAIS WETU, ITAONGEZA UWAJIBIKAJI MAKINI, NGOJA TUENDELEE KUSEMA MESEJI ZA WENYE WIVU NA KUWASHWAWASHWA HAPA KWENYE UZI.
 
Nilijua tu. Kwa kelele zile za Mkumbo kwenye azimio la Bandari, anatafuta ulaji.
True. Kitila kazawadiwa kwa ajili ya Utetezi wake kwenye Bandari. Kitendo o cha yeye kuwa mchangiaji wa kwanza Bungeni kwenye issue ya bandari tayari ilionyesha mwelekeo.
 
Haki yako kusema usitukane tu,wakati wa bwana wko magufuli usingethubutu kusema hivyo sote tuliufyata ukimsema unapotea kama alivyopotea Ben saanane alipohoji doctorate yake au kama alipopigwa marisasi tundu lissu baada ya kukosoa kuhusu makanika kw hivyo endeleeni tu kukosoa kila kitu akeshaondoka mtamkumbuka .
Tusi liko wapi hapo??

Usiweke dhana ya kuwa kwako mseng* (kuingiliwa kinyume na maumbile) kunafanya na wengine wote kuwa kama wewe. Sijui Magufuli ambaye ni marehemu sasa anaingiaje hapa ila hajawahi kuwa bwana wangu sababu mimi ni mwanaume rijali nisiejihusisha na mapenzi ya jinsia moja kama ilivyo kwako.

Ikiwa unatambua ni haki yangu kusema iweje uhoji haki hiyo kwa shutma zisikuwa na mashiko.
 
Back
Top Bottom