Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri

Salam wandugu,
Wiki kadhaa zilizopita kuna teuzi zilifanyika,ajabu ni baadhi ya watu hapa jukwaani na kwingineko kukaanza maandishi kua Mama anapendelea upande wa waislamu!!

Haya leo mtajitokeza?!!

Wengine tunafahamu nafasi nyingi nyeti zinashikiliwa na upande wa hao wanaolalamika na always imekuwepo hivyo.

Kuna mengi Watanzania kuyapambania,haswa ufisadi wa dola na wateuzi wake,wizi Ni wizi,hauna dini!!
20230705_211522.jpg
 
Haswaa, ndicho kilichobaki kwa sasa ni Kushukuru tu kwa taarifa. Hata tukitoa maoni, anayepaswa kusikiliza keshasema ameziba masikio!

Nahisi huwa anatuwekea hata taarab huko ikulu sema tu hatujui!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samahanini mbona sjaona MIPANGO imehamishiwa wapi?
Au ndo hatuishi na mipango tena yote tuwaachie double penetration?
 
Back
Top Bottom