mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo linakuja huko mbele. mama hteui mwenyewe, analetewa bila yeye mwenyewe kufabya scrutiny!Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana cv zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Mama keshafahamu analishwa matango pori, mama awe makini team inayomzunguka kuna watu wanapanga safu zao asipoangalia 2025 atajikuta nje...Kwanini Rais anateua mtu ambaye hamjui vizuri na hana cv zake mezani? washauri wa Rais kwenye mambo ya uteuzi ni akina nani!?
Ina maana sio yeye anayeteua hawa watu na kusaini pia? Mama anaanza kutuzingua.
Asipokuwa makini basi yatatokea yaleyale ya MekoKuna tatizo linakuja huko mbele. mama hteui mwenyewe, analetewa bila yeye mwenyewe kufabya scrutiny!