Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

Mawaziri wanasimamia nini? uzembe ukitokea kwenye wizara zao kwanini wasihusike?

Sioni cha maana alichofanya Rais hapo, ni sawa na ameruka hatua mbili akaenda kuagiza adhabu kwa mtu wa tatu, nashangaa kwanini hamuoni hili?!
 
Hivi Nape dini gani
 
Huu uliofanyika leo ni muendelezo wa usanii tu, hii issue itaisha kimya kimya sioni yeyote mkubwa atakayechukuliwa hatua, hata hao wasaidizi nao wataachwa kimya kimya.
 
Taratibu za uongozi hazipo kama unavyodhani wewe mkuu, yule ni Rais sio Mfalme.
afrika haiend hivyo , wezi hawaibi kizembe hapo wataumia wasio husika maana wezi hupenda kuwatumia wenye njaa wao wapo nyuma hata wino wao haupo kweny makaratas , kuliko kuish na mwizi unaemjua bora uonekane mbabe tu ila nyumba inabaki salama

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana kwa mama aje na suala la kuthibiti mfumuko wa coz kwa ambao tunazunguka zunguka Nchi hii hali ya chakula ni mbaya mvua za kuvizia na mipaka na viulenyo vya tunduma,Sibwesa, Rukoma, Ilagala,Sunuka,Manyovu,Kbanga,Mtukula,Holili,Taveta,Namanga etc kote kupo free mazao na bidhaa mbalimbali zinaenda kwao ila wao wanatuletea pombe kali aka viroba na vitenge tu kwa kiasi kidogo.Mama achukue hatua tumpongeze CAG na PCCB kwa detection yao nzuri
 
Hii maana yake Rais haoni tatizo, anaelekeza kitu gani ambacho yeye hakioni?

Naona mnatumia kigezo cha "utaratibu na sheria" ili kuzubaisha watu, na kulindana tu, na bahati nzuri kwasababu nae hapendi kuhangaisha kichwa chake ...
 
Sina imani nae.
 
Hiki ndio tunachokitaka bakora tunataka zipite humu tumeshakula Pasaka tunasubiri Eid El Fitri tukirudi Mama wachape hawa waliokwiba mabulungutu ya walipa Kodi pasinakua na huruma tena ungeanza na wale waliokwiba pamoja na yule mfanyabiashara feki pale BOT
 
Ungekuwa wewe ungefanyaje? Unazijua kazi na majukumu ya katibu mkuu kwenye wizard?
Duh watz wajuaji sana. Sasa hizi si ndio hatua zenyewe jamani ??? Mlitaka Whitwell wanyongwe bila hata kusikilizwa
huez iendesha Afrika hivyo , wajinga ni wengi sana , Kama kathibitisha kuwa kuna jambo halipo kwa akili za darasa la 7 tu inatosa kuanzia kwa wazir aliyemteua yeye kwanza then ndo aelekee chin , 40B sio ela ya kupigwa na makapuku

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
rais anawashughulikia wateuzi tu, wengine ndo hivyo taratibu zingine zinafuatwa
 
Makatibu na Wakurugenzi wamepewa rungu wajikague na wawatoe wahusika
 
Mawaziri wanasimamia nini? uzembe ukitokea kwenye wizara zao kwanini wasihusike?

Sioni cha maana alichofanya Rais hapo, ni sawa na ameruka hatua mbili akaenda kuagiza adhabu kwa mtu wa tatu, nashangaa kwanini hamuoni hili?!
Ukweli ni kwamba SAmia kuna watu anawaogopa kuwagusa au ana wapenda sana…hivi kweli katibu akamuwajibishe wa chini yake wakati wa chini yake alipokea marlekezi kutoka kwake? Makatibu si ndio wasaini hii mikataba? Sasa watamuawajibisha nani na watajibu nini? Kwani rais asiseme wazi kuwa amewasamehe wite waliotenda makosa au aseme kuwa hana imani na report ya CAG?
 
For sure I wish I could be Mr President!!!

Mimi siishii kukufuta kazi, MIMI..

1 NAKUFUTA KAZI


2 NAKUFIRISI WEWE NA UKOO WAKO WOTE, NATAIFISHA MALI ZENU ZOTE.

3 NAKUFUNGA MIAKA 10, Hakuna msamaha wala rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…