4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
duhHahahaaa!! Mama kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7 sasa.Nakukubali mnooo. Na hii ndio Tanzania ya mama.
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duhHahahaaa!! Mama kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7 sasa.Nakukubali mnooo. Na hii ndio Tanzania ya mama.
Mawaziri wanasimamia nini? uzembe ukitokea kwenye wizara zao kwanini wasihusike?Katika serikali makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara, in short mawazir wao ni walezi au wasimamizi lakin sio wataalam kitaaluma katika wizara zao, mikataba yote kabla haijasainiwa na wizara husik lazm ipite kwanza, kwanza kwanza kwa hao makatibu wakuu, , hivo wawajibishwe kwanza na kama kuna namn walishirikiana na mawaziri wao bhas nao pia watafata
Hivi Nape dini ganiMbuzi wa Kafala wamechacha . Ametafutwa sungura wa kafala Haaa.
Akina Mashimba Ndaki mbuzi wa kafala, Kabudi mbuzi wa Kafala, Lukuvi mbuzi wa kafala. Haaa.
January Makamba Mbuzi wa kufugwa hawezi chinjwa, Makame Mbarawa mbuzi wa kufugwa haitaiweje hawezi kuchinjwa, Napee je Vp kuhusu Ummy Mwalimu,
je kuna inawezekana MKRISTO akawa mbuzi wa kufugwa? haaa, et nani......... mataje
Huu uliofanyika leo ni muendelezo wa usanii tu, hii issue itaisha kimya kimya sioni yeyote mkubwa atakayechukuliwa hatua, hata hao wasaidizi nao wataachwa kimya kimya.Tulishawaambia kuwa alikuwa anabweka tu kuwaita watu "STUPID" kwani hana ubavu wa kuwachukulia hatua stahiki!! Kuna fedha chungu nzima zimeibwa kwenye malipo ya bwawa la Nyerere lakini mama yuko kimyaa kwasababu ya mbuzi wake wa kufugwa!! Hizo hizo fedha ndio wamenunulia nyumba huko DUBAI lakini TISS wamefumba macho.
afrika haiend hivyo , wezi hawaibi kizembe hapo wataumia wasio husika maana wezi hupenda kuwatumia wenye njaa wao wapo nyuma hata wino wao haupo kweny makaratas , kuliko kuish na mwizi unaemjua bora uonekane mbabe tu ila nyumba inabaki salamaTaratibu za uongozi hazipo kama unavyodhani wewe mkuu, yule ni Rais sio Mfalme.
Haendi kwa papara kwakuwa CAG sio wa kuaminika?😂😂😂😂😂Subiri ujionee matokeo, mama haendi kimapapara kama dikteta yule.
Sasa mambo ya Sukuma Gang yanaingiaje hapo wewe Taila kwani hao sukuma gang ndio wametumbuliwa?Safi sana, kama naona sukuma gang mnavyo umia kwa hatua kuchukuliwa
uoga wote wa nini sasa ?Rais ana akili huyu, ametanguliza mgambo believe maelekezo yote yanatoka kwake.
Yeye atakua anasema, katibu funga jera huyo.!!
Uongozi ni technical.
usihusishe wengine na uzuz wakoWatanzania tuna imani na Mama
Hii maana yake Rais haoni tatizo, anaelekeza kitu gani ambacho yeye hakioni?Mkuu sikubalian na wewe kwenye hili.
Jambo hili bado lipo mikononi mwa Rais kwa kias kikubwa...soma vizur hapo.. amemwelekeza "Katibu Mkuu Kiongozi"...huu ndo utawala wa kisheria unavyotaka mkuu.
Mpaka Hapo hamna shaka Mkuu labda useme katibu Mkuu Kiongozi hajiwezi au labda kama na yeye ni mtuhumiwa.
Sina imani nae.Tumpe muda basi jamani....Na yeye si anaipitia kwa level yake? Kisha kama ambavyo hao watachukua hatua kwa wachini wao na yeye atachukua hatua kwa wale walio chini yake....Mimi naona Mh. Rais anachukua hatua kwakufuata sheria, kanuni na taratibu na ndiyo good governance hii....
Ameonyesha utulivu na anazingatia utawala wa sheria....
Hiki ndio tunachokitaka bakora tunataka zipite humu tumeshakula Pasaka tunasubiri Eid El Fitri tukirudi Mama wachape hawa waliokwiba mabulungutu ya walipa Kodi pasinakua na huruma tena ungeanza na wale waliokwiba pamoja na yule mfanyabiashara feki pale BOTKatika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu Kiongozi kuhakikisha kuwa Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wote wa Taasisi za Serikali wanaipitia kwa kina tarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kujibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote zinazogusa maeneo yao.
huez iendesha Afrika hivyo , wajinga ni wengi sana , Kama kathibitisha kuwa kuna jambo halipo kwa akili za darasa la 7 tu inatosa kuanzia kwa wazir aliyemteua yeye kwanza then ndo aelekee chin , 40B sio ela ya kupigwa na makapukuUngekuwa wewe ungefanyaje? Unazijua kazi na majukumu ya katibu mkuu kwenye wizard?
Duh watz wajuaji sana. Sasa hizi si ndio hatua zenyewe jamani ??? Mlitaka Whitwell wanyongwe bila hata kusikilizwa
rais anawashughulikia wateuzi tu, wengine ndo hivyo taratibu zingine zinafuatwaInashangaza sana, kwanini Rais anawaagiza makatibu wakuu na watendaji wakuu wahakikishe wanapitia ripoti na kuwawajibisha wale waliohusika na uzembe?
Yeye kama Rais anachukua hatua gani kwa hao wakuu waliosimamia huo uzembe wakiwemo mawaziri?
Alichokifanya Rais hapo ni sawa na kufunika kombe mwanaharamu apite, sioni jipya.
achen ukabila , nyiny mazuzu mnatumia nguv kulet ukabila nchini , ukiona unatumia lugha za kikabila juwa umefirisika kisiasaSafi sana, kama naona sukuma gang mnavyo umia kwa hatua kuchukuliwa
Ukweli ni kwamba SAmia kuna watu anawaogopa kuwagusa au ana wapenda sana…hivi kweli katibu akamuwajibishe wa chini yake wakati wa chini yake alipokea marlekezi kutoka kwake? Makatibu si ndio wasaini hii mikataba? Sasa watamuawajibisha nani na watajibu nini? Kwani rais asiseme wazi kuwa amewasamehe wite waliotenda makosa au aseme kuwa hana imani na report ya CAG?Mawaziri wanasimamia nini? uzembe ukitokea kwenye wizara zao kwanini wasihusike?
Sioni cha maana alichofanya Rais hapo, ni sawa na ameruka hatua mbili akaenda kuagiza adhabu kwa mtu wa tatu, nashangaa kwanini hamuoni hili?!