Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ukiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende ZanzibarDar es Salaam 14 Mei, 2026
YAH: KUVUNJWA KWA BODIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bodi hiyo imevunjwa leo tarehe 14 Mei, 2026.
Shaaban Kissu
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Zamu ya wengine kula kwa urefu wa kamba!
Yes,
A very stupid commentUkiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende Zanzibar
Wewe umejuaje sababu ni kutowajibika na ilhali barua haijasema chochote? Huko ndio kukurupuka sasa.Yes,
usipo wajibika utawajibishwa
well done Dr Samia Suluhu Hassan 🔥