TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Hata taasisi iliyovunjwa bodi huijuiMm NSSF wamekatalia hela yangu, hivyo lolote liwakute tu!
A very low IQ
Hata taasisi iliyovunjwa bodi huijuiMm NSSF wamekatalia hela yangu, hivyo lolote liwakute tu!
Mmechanganyikiwa mabaki kuongea trash muda wote ndo maana me hamishawishi hata siku moja kuandamana kwa sababu hamna hoja za maanaUkiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende Zanzibar
Relax gentleman,Wewe umejuaje sababu ni kutowajibika na ilhali barua haijasema chochote? Huko ndio kukurupuka sasa.
itaundwa bodi nyingine mpya mara moja 🐒Sa itakuwaje?😶
upotoshaji ni kipaji cha kimaskini sana gentleman 🐒Pesa za wahisani zimekatika, hivi sasa ni kutafuta pesa popote zilipo, hali si shwari.
Case Closed.Ukiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende Zanzibar
una uhakika na unachosema?A very stupid comment
Hivi sasa hadi wataanza kutumbuana wao kwa wao wakijitia wana uchungu na pesa za kodi, kumbe pesa hakuna wanajitahidi kuzitafuta popote zilipo, unafikiri mchezo hadi kuwaita majirani ili kushirikiana kiuchumi...upotoshaji ni kipaji cha kimaskini sana gentleman 🐒
Hapo sawa,Hivi ndiyo wewe uliniita nyumbu? Batako yako🤒itaundwa bodi nyingine mpya mara moja 🐒
Tunataka kusikia sababu za kuvunja bodi hiyo na sio tu kuvunja hovyo vyombo vya serikali.
Hata taasisi iliyovunjwa bodi huijui
A very low IQ
Masikitiko sana , zile nyumba zao pale MBWENI zitamaliziwa ujenzi kweli?14 May 2026
![]()
*
Joyce G. Mapunjo
Chairperson
![]()
*
Emma P.Lyimo
Member
![]()
CPA. Pius A. Maneno
Member
![]()
Dr. Haphsa M. Hincha
Member
![]()
Tumaini P. Nyamhokya
Member
![]()
Suzanne N. Doran
Member
![]()
Vicky J.Jengo
Member
![]()
Sadi W.Shemliwa
Member
![]()
Fortunatus Magambo
Secretary
Fao lako la kukosa ajora hawajakupa tu?Mm NSSF wamekatalia hela yangu, hivyo lolote liwakute tu!
Unaelekea kuujua ukweli, ni kwamba Mchengerwa kuna jambo anataka lipitie hapa ila actuarials za mfuko zimegoma, so bora ivunjwe na bodi zote zapate woga pale mishe za mkwe zikiletwa ni yes mzee.Ukiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende Zanzibar
Sawa kabisa, Bodi hii haina wanamakobazi wa kutosha. Ivunjwe.Zamu ya wengine kula kwa urefu wa kamba!