Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

Ukiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende Zanzibar
Mmechanganyikiwa mabaki kuongea trash muda wote ndo maana me hamishawishi hata siku moja kuandamana kwa sababu hamna hoja za maana
 
Pesa za wahisani zimekatika, hivi sasa ni kutafuta pesa popote zilipo, hali si shwari.
 
Wewe umejuaje sababu ni kutowajibika na ilhali barua haijasema chochote? Huko ndio kukurupuka sasa.
Relax gentleman,
imeisha hiyo tayari na tunasonga mbele kama taifa ๐Ÿ’
 
upotoshaji ni kipaji cha kimaskini sana gentleman ๐Ÿ’
Hivi sasa hadi wataanza kutumbuana wao kwa wao wakijitia wana uchungu na pesa za kodi, kumbe pesa hakuna wanajitahidi kuzitafuta popote zilipo, unafikiri mchezo hadi kuwaita majirani ili kushirikiana kiuchumi...

Na huyo aliyekufundisha hilo neno la gentlemen atakuwa mmeo..
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†๐Ÿ˜’๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
FUngo Kwa Mchele Kama Kalima Yeye
 
Masikitiko sana , zile nyumba zao pale MBWENI zitamaliziwa ujenzi kweli?
 
Ukiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende Zanzibar
Unaelekea kuujua ukweli, ni kwamba Mchengerwa kuna jambo anataka lipitie hapa ila actuarials za mfuko zimegoma, so bora ivunjwe na bodi zote zapate woga pale mishe za mkwe zikiletwa ni yes mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ