Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

Rais Samia avunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
WhatsApp Image 2026-05-14 at 20.18.43.jpeg
Dar es Salaam 14 Mei, 2026

YAH: KUVUNJWA KWA BODI​
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bodi hiyo imevunjwa leo tarehe 14 Mei, 2026.

Shaaban Kissu
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
 
Hivi ule uchunguzi juu ya wafanyakazi wa huo mfuko kuhusika kutapeli wastaafu uliishia wapi?

Matapeli hupigia simu wastaafu yakiwa na taarifa zote ikiwemo cheque no na tarehe aliyothibitishwa kazini.😀
 
Dar es Salaam 14 Mei, 2026

YAH: KUVUNJWA KWA BODI​
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amevunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bodi hiyo imevunjwa leo tarehe 14 Mei, 2026.

Shaaban Kissu
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Ukiona hivi ujue wamegoma kumpatia hela yeye na mwanae na mkwe na sasa atawekwa Mwenyekiti wa Bodi Mzanzibar hapo ili pesa zote za watu wa Bara ziende Zanzibar
 
Back
Top Bottom