Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Nabado,

Huyu mama anatupeleka mbio sana hasa Wale pingapinga,
Huyu ndio Rais bora sasa toka uhuru,
Hakuna kama Samia,
Magufili kumbe zilikuwa kelele tu
 
Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Riba Hawasemi Ni Asilimia Ngapi
 
Asante kutujuza,sisi wananchi wa kawaida,ukitujuza habari kama hizi,unatufanya tuzidi kumpenda Rais wetu,na kuzidisha uzalendo.Na pia tunawaelezea wezentu,wasiojua habari hizi.
 
Vichwa na mabehewa viko njiani vinakuja, ujenzi unaendelea na hela zimetolewa rejea speech ya Masanja Kadogosa
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Atusaidie Tuokote Bandarini
 
Msemo Muhimu Ni Huu Hapa Chini Tafadhali
""Haijapata Kutokea Tangu Dunia Kuumbwa ""




Haa Haa
 
why records, mbona miaka ya mwalimu, mwinyi, mkapa na jk hatukuendaga kwa style hii, why now?
Yaani Ccm wamekosa muelekeo. Wapo kama kuku wa mganga. Akisha mkata kichwa humuacha arukeruke hadi akate roho....
 
Ndege nazo alikopa pesa
Tuambie alienda kukopa Bank gani akaenda kununua ndege
Kwani hizo za credit suisse alisema anafanyia nini? Unajua why alienda commercial banks? Simply ili azitumie kwa shughuli yoyote ikiwa pamoja na kununua ndege. WB na IMF wadingeweza kutoa concessional loans iki kununua ndege.
 
Tunakuelewa vizuri sana.Na maendeleo tunayaona.Endelea kutujuza.
Pamoja sana mkuu Kikwajuni One ,

Hakuna kama Samia hata wanaobisha hapa wakienda pembeni wanakubali,

Watu walimdharau sana mama now we are showing them a woman also can lead


#KAZIIENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Yaani Ccm wamekosa muelekeo. Wapo kama kuku wa mganga. Akisha mkata kichwa humuacha arukeruke hadi akate roho....
Hata fisi alitegemea mkono kudondoka mkuu,


#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
I am keen to know enzi za jakaya tulipokea ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…