Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Mmeagiza ambulance weka B/L zake hapa!! Weka Receipts za malipo -TT
 
Raisi Samia mpaka sasa anaenda vizuri - lakini usianze kulinganisha kilicho nunuliwa tayari na kilicho agizwa (ahadi) kinunuliwe! Ahadi na kitukilichokwisha tekelezwa kipi bora? Ufurahie results siyo proposals. Inawezekana tukaambulia hiyo ahadi tu na akifika ofisini baada ya kuahidi, zile hela zikapangiwa mradi mwingine. Usilinganishe - tusubiri matokeo
 
Duuuh,

Kumbe mzee baba miaka 5 kapigwa gepu na mama kwa miezi sita tu khaaa,

Mungu tupe maisha marefu Mimi na Samia nimwone mpaka 2030 Tanzania itakavyokuwa inang'aa

Kweli kumpinga Samia ni kutafuta laana tu,
 
Ukiona nchi ina magereza chache na mahakama chache ujue crime ni ndogo watu hawafanyin uharifu kwa sana.

So umesema hawamu ya Magufuri iliagiza amblancy 117, lakin hawam ya Rais Samia ameagiza amblance 395.

Kwa tafisiri yangu naona hawam ya Magufuri wagonjwa walikuwa wachache ndio maana zikaletwa 117. Lakin hawam hii zimeagizwa 395 Ina maana wagonjwa kipindi hik wagonjwa ni wengi mno Tena yawezekana 395 zikawa hazitosh!!!

Wamachinga Wana presha ya biashara, wafanyakaz mishahara haitoshi wanaugulia kimoyo moyo, mafuta ya kula na ya magari kupanda bei Kama zote, tozo Kama zote, corona na chanjo ya JJ ndo usiseme, yaan full stress. Kweli hapa wagonjwa so lazima waongezeke jaman??? So Raisi amefanya vizuri kuagiza 395 kuhudimia watz!!!!
 
Ahadi wapi mkuu pesa Cash 1.3T ameifanyia budgeting mbele ya watanzania,

Huyu mtu ni tofauti sana,

Tangu umekuwa umewahi kuona mkopo unagawanywa hadharani?



#
 
Kama Taifa tumtie Rais Samia moyo mkuu. Ukiachilia kasoro kubwa na ya kimsingi ya kumsingizia raia mwenzetu Freeman Mbowe kesi ya ugaidi na juhudi za Rais kujichagulia wapinzani anayewataka yeye, serikali na Chama chake, amejitahidi kuwa muwazi, shirikishi ya viongozi wenzie na kukemea ubadhirifu kwa watu wote. Mipango yake ya kimaendeleo haina upendeleo wa kikanda au maeneo tuliokwishazoea awamu ya tano na hii kwangu nawaza tuko kwenye mstari. Napenda uthubutu wake, biti za uhakika na kujituma kwake. Lakini tunaomba Tanesco, Mradi mkubwa wa umeme wa Nyerere, Simu, TRC, na wote ambao hawakufanyiwa audit wafanyiwe haraka sana. Wengi tunaamini kuna yaliyojificha na tutaendelea kuwa na shaka. Pamoja na hayo hongera kwa mema unayifanya. Watanzania na dunia wanaendelea kumpigania Mbowe na hili ni doa kubwa sana kwako.
 
Mkuu nisoma utafiti wako vizuri Sana,

But,

Ambulance ni kwaajili ya dharau kama ajali na Case chache za magonjwa yasiyo ajali,

Rais amependa kila hospital ya wilaya iwe na ambulance hilo ni baya?

Kila halmashauri iwe na ambulance hilo ni jambo baya?

Kinga ni bora kuliko tiba mkuu Wangu


KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Mkuu Rais Samia hajampa kesi Mbowe,

Kabla yake kesi ilikuwepo,

Otherwise mengine umesema ukweli mtupu,

KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Duuuh,

Kumbe mzee baba miaka 5 kapigwa gepu na mama kwa miezi sita tu khaaa,

Mungu tupe maisha marefu Mimi na Samia nimwone mpaka 2030 Tanzania itakavyokuwa inang'aa

Kweli kumpinga Samia ni kutafuta laana tu,
Samia hapingwi ukimpinga mja wa Mungu nisawa na kumpinga Mungu tu,


KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Daaaa kweli unasababu ya kumchagua kwa sifa hz zote Ila mbona umesahau moja ya kukuletea chanjo ya majaribio?
 
Ingizo jipya hili la lumumba buku 7 umekuja kwa speed sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…