peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
The current metro area population of Zanzibar in 2021 is 735,000, a 4.26% increase from 2020. The metro area population of Zanzibar in 2020 was 705,000, a 4.14% increase from 2019. Mnagawana fedha kwa majimbo. Fedha xinaishia kwa wachache huko zanzibarVichwa na mabehewa viko njiani vinakuja, ujenzi unaendelea na hela zimetolewa rejea speech ya Masanja Kadogosa
Nakuona mrembo wa Mama SamiaSerikali ya awamu ya 6 ni serikali ya chama kilekile CCM kwa miaka60 sasa, na ni matokeo ya serikali ya awamu ya 5 kwa asilimia 100.
Tusisahau SSH alikua namba2 kwenye serikali ya JPM na ndio maana akaja na kauli mbiu ya KAZI IENDELEE
Tukiweza kupongeza mafanikio yake bila kulazimisha kumpambanisha na kumfananisha SSH na JPM tutaisaidia nchi yetu na tutamsadia zaidi Rais wetu leo, kesho na miaka ijayo
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Fedha inagawiwa kwa miradi iliyopo sio idadi ya watu mkuu,The current metro area population of Zanzibar in 2021 is 735,000, a 4.26% increase from 2020. The metro area population of Zanzibar in 2020 was 705,000, a 4.14% increase from 2019. Mnagawana fedha kwa majimbo. Fedha xinaishia kwa wachache huko zanzibar
Kaja kwa speed gani mkuu?Ingizo jipya hili la lumumba buku 7 umekuja kwa speed sana
Fedha inagawanywa kwa dadi ya majimboFedha inagawiwa kwa miradi iliyopo sio idadi ya watu mkuu,
Hata kama wako hamsini,
Hawaumwi,?
Hatembei?
Hawasomi?
Safi Sana CrdeSubiri zikija utaziona na kupiga nazo picha mkuu,
KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Teuzi inamtesaWe toilet paper unatuchosha na usifia kijinga hivyo
Kaja kwa speed gani mkuu?
CCM inahazina kubwa sana
Fedha inagawiwa kwa miradi iliyopo sio idadi ya watu mkuu,
Hata kama wako hamsini,
Hawaumwi,?
Hatembei?
Hawasomi?
Safi Sana chief nafarijika sana kuwaoneni mkiitetea CCM kwa wivu mkubwa,Nakuona mrembo wa Mama Samia
UsedToilet paper ya kiwanda gani vile mkuu
Huenda ni bimkubwa mwenyeweTeuzi inamtesa
Mkuu majimbo ndio yanawatu,F
Fedha inagawanywa kwa dadi ya majimbo
#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI😍😍😍Ingizo jipya hili la lumumba buku 7 umekuja kwa speed sana
Visiwani kuna watu wangapi na bara kuna watu wangapi?Mkuu majimbo ndio yanawatu,
Umejibiwa vizuri sana,
#KAZIIENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
BOTH ANGLE ARE MARKED WELL CLOSELY KILA UPANDE UNAANGALIWA KWA UMAKINI MKUBWA KWA SABABU VYOTE NI MUHIMU KWA TAIFA LETU.Ongeeni habari za SGR imefikia wapi na inaanza kazi lini ,acheni mahoka huko bongo
Viva Samia vivaMtakumbuka awamu ya tano ya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,awamu hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan tumeagiza ambulance brand new 395 || Kaziindelee
" Hakuna kama Samia "
Rais mpole na mnyenyekevu Samia Suluhu Hassan,Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini,kabila,rangi wala kanda kwa kutumia Economic Stimulus relief fund toka IMF ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Corona,Hakika kumbeza Rais Samia nikujitafutia laana za bure kwa Mungu.
Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 na hapa tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema Mwanamwema wa Africa Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri alizozifanya kwenye sekta hii ya afya nchini,
Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusu roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu yao ( referral hospitals )
Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri 184 ikiwemo Ushetu tulikoshinda kiti cha Ubunge kwa kishindo majuzi kwa hesabu hii ya ambulance 395 kila halmashauri itapata ambulance mpya kwaajili ya kuhudumia ama za Kituoa cha afya ama Zahanati zao kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenye hospitali za Wilaya, Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi,
Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano ,kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii, " kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "
VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Wameanza kuelewa sana tuAsante Sana mkuu Wangu wataelewa tu polepole,
VIVA MAMA VIVAViva Samia viva
NdiooBOTH ANGLE ARE MARKED WELL CLOSELY KILA UPANDE UNAANGALIWA KWA UMAKINI MKUBWA KWA SABABU VYOTE NI MUHIMU KWA TAIFA LETU.
Nani unamzungumzia?Ndege nazo alikopa pesa
Tuambie alienda kukopa Bank gani akaenda kununua ndege