Rais Samia awaambia walimu kuwa kuna mambo mazuri yanakuja

Wambie wajiajiri Kuna kuuza vocha, ice cream, kubeba zege nk
 
Yani bodi imeondolewa makato ya mwaka mzima, madeni ya benki pia yamepungua. Bodi jumlisha benki imeondolewa zaidi ya milioni 2....Mungu amlinde huyu mama.
Madeni ya bank yanapunguaje kwa mfano
 
Hongereni walimu, mama anapenda kila mtu afurahi, ningependa kuishauri serikali kutafuta balance kwenye intake za wanafunzi wanaochukua ualimu ,somo moja lisiwe na wanafunzi wengi kupita kiasi na somo lingine kuwa na wahitimu wachache kupita kiasi,, balance inahitajika
 
Madeni ya bank yanapunguaje kwa mfano
Hata sielewi Ila kwangu imepungua Kama laki 5 ukiangalia tofauti ya balance ya Dec na Januari....Ila nasikia benki zimeshusha riba, labda ndo na madeni yameathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…