Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Akili kubwa sana, jumlisha na katiba mpya.
Kuna kitu tunatafutiwa kwenye huu muungano. Taratibu tutajua wapi tunaenda, tazama mgawanyiko wa fedha za mikopo na misaada kisha tazama nafasi za serikalini. Tulianza na Mohamed Mchengelwa akapachikwa nafasi haiwezi hata, baadae akapewa kazi ambayo ukifeli ile basi wewe uchapwe viboko.
 
Uzoefu na studies zinaonesha changes lead into better improvement.

Mheshimiwa Rais umefanya vyema kufanya mabadiliko.

Tunasubiri na mengine mengi ikibidi.
 
Kwa hiyo Masilingi alishaondolewa ubalozi wa Tz Amerika?
 
Yote hayo ni kumpatia nafasi nyeti Mzanzibari, yana mwisho



Lakini binafsi naona huwa ni watu wazuri ,

Sizani kama utaona wananchi wakipigwa risasi na askari,

Tarajia kutosikia hayo,

Huwa wanapenda kuona au kusikia haki ikitendeka kwa watu,

Hawapendezwi na dhuruma na kuoneana.

Kama Kweli ni Mzanzibar basi tutarajie utendaji ulotukuka,

Tumuunge mkono na kum-support kwa juhudi ili tufukie malengo.

Tunasubiri Kwa hamu kubwa swala la Katiba Mpya ya JMT ,

Kwenye mambo ya msingi ya kuanza nayo kwenye checklist yako anza na Hilo na Tume huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…