Rais Samia awabadili nafasi Mawaziri wa Wizara ya Utalii na Maliasili na Wizara ya Utamaduni na Michezo

Safi sana mama kazi iendelee. Mhe Mchengerwa mtu makini sana wizara zote alizokaa amefanya vzr. Mama umejua kunifurahish
 
Alianzia Wizara ya Elimu, akahamishiwa Utalii. Naona ameshindwa kuendana na mfumo wa uteuzi kwenye serikali kuu
 
Afadhali Mh Rais angechelewa tu kidogo tungepigwa pabaya mno na jirani sasa bado Madini mpaka june aondoke tu
 
Kuoa mtoto wa rahisi raha sana.



Sana! [emoji3][emoji28]

Unawekwa utakapotaka! [emoji4]

Siijui kikatiba hii inapaswa kukaaje ili kuepuka mgongano wa maslahi ya Umma na rasilimali za Umma!

Nani anaweza kumuonya mwenzie anapokosea ilihali ni mkwe?!
 

Ukiwa unajua kazi ya kuteuliwa ndio heshma pekee ni hatari sana
Na ukiwa hujui yaliyomo Kati ya mteuliwa na mteuaji unaweza kujikuta anajichosha kuongea mengi mno yakukufariji kumbe unajichosha bure.

Kaka Sedo amejisholeza, ana afya nzuri sana ya akili, ana uelewa mkubwa na karama nyingi mno

Ni mtu mwenye kufaa kwa matumizi mengi na ukatibu ni kipengele cha hayo mengi

Kazi inaendelea
 
Sana! [emoji3][emoji28]

Unawekwa utakapotaka! [emoji4]

Siijui kikatiba hii inapaswa kukaaje ili kuepuka mgongano wa maslahi ya Umma na rasilimali za Umma!

Nani anaweza kumuonya mwenzie anapokosea ilihali ni mkwe?!
Wacha chuki.marekan treump aliweka wanae mawazir. MCHENGgerwa ana haki zote awe atapojaaliwa na mungu.yeye ni mbunge kikatiba ana nafas ikimpendeza Mh Rais kumuweka mahali popote.chuki hazisaidii.
Utamaduni walifufuka hapa katii hali kadhalika hata wizara ya utumish alipokuwa pia discpline ilikuweko.
Tuone na mariasili napo sehem ngumu, tata napo mungu amsadie maana pagumu .apafumue fumue reshuffle ya nguvu ikipita watapatikana watu wazuri.mikoani waje dodoma wa dodoma waende mikoani
 



Kwa hiyo Kama yalifanyika makosa huko na sisi tuige?
Je huyo Trump adhabu alopata uliiona?
Je aliweza kurudi tena kwenye uongozi?
 
Kwa hiyo Kama yalifanyika makosa huko na sisi tuige?
Je huyo Trump adhabu alopata uliiona?
Je aliweza kurudi tena kwenye uongozi?
kwa hiyo ukiwa na udugu na rais hufai kuwa kiongozi/kuteuliwa?
 
kwa hiyo ukiwa na udugu na rais hufai kuwa kiongozi/kuteuliwa?



Ndiyo kwa sababu za kimaadili na kuepuka mgongano wa kimaslahi kwenye maslahi ya Umma.

Hata hivyo kuielewa hiyo hoja inahitaji ufahamu wa mambo mkubwa na moyo wa Uadilifu mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…