sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Jpm alisema hawezi kumteua mtu ambaye hamfahamu vizuri.Kweli bila Conection vyeo hupati. Sisi Watoto wa Peasants tuendelee kula Mtori Nyama tutazikuta juu ya Mtori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jpm alisema hawezi kumteua mtu ambaye hamfahamu vizuri.Kweli bila Conection vyeo hupati. Sisi Watoto wa Peasants tuendelee kula Mtori Nyama tutazikuta juu ya Mtori
Alianzia Wizara ya Elimu, akahamishiwa Utalii. Naona ameshindwa kuendana na mfumo wa uteuzi kwenye serikali kuuProfesa Sedoyeka alikuwa mkufunzi na mkuu wa chuo pale Arusha (AIA) juzi juzi akateuliwa kuwa katibu mkuu maliasili na utalii na kuupiga chini ukufunzi, leo ametumbuliwa! Sasa sijui atarejea kwenye ukufunzi au atakaa benchi kungojea vyeo vya dezo, uchawa na kujipendekeza kutoka kwa rais!
Ni fedheha sana.
Afadhali Mh Rais angechelewa tu kidogo tungepigwa pabaya mno na jirani sasa bado Madini mpaka june aondoke tuMohamed Omary Mchengerwa aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
Aidha, Balozi Dkt. Pindi Chana aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amehamishiwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbas Said, amekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii
Dkt. Hassan Abbas anachukua nafasi ya Prof. Eliamani M. Sedoyeka
Aidha, Rais Samia amemteua Said Othman Yakub kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas
View attachment 2517517
View attachment 2517518
Kuoa mtoto wa rahisi raha sana.
Profesa Sedoyeka alikuwa mkufunzi na mkuu wa chuo pale Arusha (AIA) juzi juzi akateuliwa kuwa katibu mkuu maliasili na utalii na kuupiga chini ukufunzi, leo ametumbuliwa! Sasa sijui atarejea kwenye ukufunzi au atakaa benchi kungojea vyeo vya dezo, uchawa na kujipendekeza kutoka kwa rais!
Ni fedheha sana.
Wacha chuki.marekan treump aliweka wanae mawazir. MCHENGgerwa ana haki zote awe atapojaaliwa na mungu.yeye ni mbunge kikatiba ana nafas ikimpendeza Mh Rais kumuweka mahali popote.chuki hazisaidii.Sana! [emoji3][emoji28]
Unawekwa utakapotaka! [emoji4]
Siijui kikatiba hii inapaswa kukaaje ili kuepuka mgongano wa maslahi ya Umma na rasilimali za Umma!
Nani anaweza kumuonya mwenzie anapokosea ilihali ni mkwe?!
Wacha chuki.marekan treump aliweka wanae mawazir. MCHENGgerwa ana haki zote awe atapojaaliwa na mungu.yeye ni mbunge kikatiba ana nafas ikimpendeza Mh Rais kumuweka mahali popote.chuki hazisaidii.
Utamaduni walifufuka hapa katii hali kadhalika hata wizara ya utumish alipokuwa pia discpline ilikuweko.
Tuone na mariasili napo sehem ngumu, tata napo mungu amsadie maana pagumu .apafumue fumue reshuffle ya nguvu ikipita watapatikana watu wazuri.mikoani waje dodoma wa dodoma waende mikoani
kwa hiyo ukiwa na udugu na rais hufai kuwa kiongozi/kuteuliwa?Kwa hiyo Kama yalifanyika makosa huko na sisi tuige?
Je huyo Trump adhabu alopata uliiona?
Je aliweza kurudi tena kwenye uongozi?
kwa hiyo ukiwa na udugu na rais hufai kuwa kiongozi/kuteuliwa?