Pre GE2025 Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu

Pre GE2025 Rais Samia awafuturisha watoto yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.

Hela iliyotumika ni kutoka katika mazao yake au ni nguvu ya wadanganyika.

Pili baada ya hiyo futari Nani ana walisha , maana sala za kuwa saidia wenye mahitaji bado inatakiwa kuendelea.


Tatu Sera ya mayatima ya nchi ipoje, inajitosheleza au ndio hiyo imewekwa Kwa ajili ya watu kujitakasa, kama watu walivyokwenda mto yordan kuoga.
 
Samia the "chief comforter of our beloved nation....

Samia, the 'chief comforter of our beloved nation,' deceives us into thinking that life is easy, when in reality, it is as hard as stone. She sells everything that exists in Tanganyika, and once her time is up, she leaves us in tears and gritting our teeth!

Bringing the country back to where it was will take more than 50 years of immense suffering. Major development projects are either stagnant or forgotten; she builds classrooms to give the illusion of progress, which is a significant deception!"
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 3 Machi, 2025
 

Attachments

  • VID-20250304-WA0001.mp4
    12.9 MB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 3 Machi, 2025
👏👍🤝🙏
 
Aawaachie kina Soka na wenzake, kama wana makosa awapeleke Mahakani.
 
Back
Top Bottom