Utawala wa CCM kufanya siasa pekeeUtawala gani wa kidemokrasia wakati tayari keshatoa amri ya kutohesjimu haki za kikatiba na za kisheria za vyama ya siasa?
Kwani alikuwa ameulizwa??😅😅Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya(EU), Charles Michel ambapo amemsifu Rais Samia kwa hatua anazochukua kukabiliana na ...
Hapa mkuu umekuna penyewe kabisa!Kwa urais wa kurithi sio rahisi atekeleze utawala wa sheria, maagizo yote anapewa na genge aliloacha Magu.
Kuna "...genge aliloacha Magu" lililosalia kwenye muundo alioutengeneza yeye mwenyewe na kuukamilisha hivi karibuni? Hilo genge litakuwa limejificha wapi, ndani ya chama, ambacho yeye mwenyewe ndiye mwenyekiti wake?Kwa urais wa kurithi sio rahisi atekeleze utawala wa sheria, maagizo yote anapewa na genge aliloacha Magu.
Katiba ndio inasema hivyo?Kwa urais wa kurithi sio rahisi atekeleze utawala wa sheria, maagizo yote anapewa na genge aliloacha Magu.
Katiba ndio inasema hivyo?
Je, Samia hana mamlaka ya kuwafukuza hilo genge la Magu?
Kwanini asijiamini wakati katiba anayoitumia mnasema inampa madaraka makubwa?Sio kwa kujiamini kihivyo.