Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wanaomsifia huyu mama ni wendawazimu na wanafanya hivo kwa malengo fulani, mtu mwenye akili timamu na anayejua jinsi hali ya maisha ilivyobadilika hawez kumwendekeza huyu raisi mnafiki.
Ndioo ila usimseme sana kafanya pale anapoweza kauza nchi yote kwa waarabu nasasa hivi tutatawaliwa kama zamani
 
Watu wanaomsifia huyu mama ni wendawazimu na wanafanya hivo kwa malengo fulani, mtu mwenye akili timamu na anayejua jinsi hali ya maisha ilivyobadilika hawez kumwendekeza huyu raisi mnafiki.
Wewe ndiye mnafiki mkubwa unayekalia umbea na uzushi badala ya kufanya kazi kwa bidii ili ujikwamue kimaisha.
 
Ndani ya CCM,chaguo ni Rais Samia na in fact Kwa kazi yake ndio chaguo la Watanzania.

Sasa uache kumchagua mtu aliye deliver uanze kuchagua Hadithi? Utakuwa na akili?
Dhambi na vilio vya wananchi havitawaacha salama mnaoshabikia ujinga watu hawana hata labarotory mtoto anapewa vitu hajui kusolve kweli akili zenu kamwombeni Mungi msamaha
 
Ila amesahau kutoa tamko la kuwakabidhi pikipiki alizowaahidi miaka 2 iliyopita
 
Bila shaka wewe ni kipofu wa akili na macho.hata ukielezwa vipi huwezi kuelewa maana umeshapofuka akili na macho yako.
Jishike shike tu kuna usemi usemao nisikilize kwa makini mtu wewe ashangalia uovu ni muovu na kila mtu atalipizwa kwa uovu wake .
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa Urais kwa kuchukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya Urais.

Shangwe hiyo imekuja baada ya Rais Samia kutamka hadharani kuwa anataka kuacha alama katika uongozi wake atakapokuwa anajiandaa kurejea Nyumbani Kizimkazi na kuja kuwahoji walipofikia kimafanikio na kimaendeleo katika Masuala Mazima ya ushirika na ugani.

Kauli ya kusema kuwa atakapo Kuwa anajiandaa kurejea Kizimkazi miaka hiyo ya mwishoni kuelekea 2030.imemaanisha kuwa Rais wetu Mpendwa amekubali Ombi na Maombi ya Mamilioni ya watanzania wa makundi mbalimbali waliohitaji kuona akiendelea kuwa Rais Wetu.

Ndio maana makundi kama Walimu walikuwa wamemchangia mamilioni ya pesa kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Urais.pia wahandisi nao pia walikuwa wamechanga mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumpatia Usafiri wa helikopta atakayo kuwa anaruka nayo angani na kuteka anga lote la Tanzania kikomandoo wakati wa kampeni,huku bendera ya kijani ikipepea angani.

Kwa hakika Rais Samia ameleta furaha kubwa sana hapa Nchini kwa kauli yake hiyo.ikumbukwe ya kuwa mamilioni ya watanzania chaguo lao ni Rais Samia tuu hapo Mwakani. Watu wengi sana walikuwa wamesema kuwa wanahitaji kuona CCM ikimpatia Rais Samia ugombea Urais.jambo ambalo hata hivyo CCM kupitia viongozi wake ilijibu kwa kusema kuwa Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.

Kwa hakika Rais Samia ndiye ameshikilia Furaha ya Mamilioni ya watanzania.kama Ingetokea akakataa ombi la watanzania,kwa hakika angewakatisha sana tamaa na kuwavunja moyo mamilioni ya watanzania ambao kwa sasa wamejaa matumaini tele na uhakika wa kutimiza ndoto zao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo Mama yako ni SHEITWAAINI kabisa, amezuia mchakato wa katiba mpya ili aweze kutawala apendavyo. Hakika kifo chake na kiwe sawa sawa na kile cha Mwendazake Mangufuli
 
Wewe ndiye mnafiki mkubwa unayekalia umbea na uzushi badala ya kufanya kazi kwa bidii ili ujikwamue kimaisha.
😂😂😂
Wewe ni fala sana
Nina kazi na biashara sitegemei wanasiasa wanilipe mshahara mwisho wa mwezi.

Unadhani mimi ni shoga kama wewe nategemea kusifia watu ili mkono uende kinywani.

BE A MAN!
 
Wewe ni lishetani kabisa
Sheitwaini ni huyo Mama yako Samia, amebaka mchakato wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili "tutakapopiga kura kwingine CCM iunde serikali". Samia ni sheitwaini kabisa na hakika kwa kitendo hiki cha kuhujumu upatikanaji wa katiba, atakufa kifo sawa sawa na mwendazake
 
Wewe ndiye mwenye shida na matatizo
IPo siku utaacha kushadadia ujinga . Halafu cha kushangaza mtu akishakuwa na namba ya viongozi anashida unaona umeshikilia mpini kumbe makali . Shauri yako wengi hapa wamesifia vyama vingi leo hii hawapo . NISHAKUAMBIA FUATA MAISHA YAKO KWA FAIDA YAKO. MIE CCM ILA SIIPONGEZI KAMA NI WANAFANYA UJINGA UJINGA
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa Urais kwa kuchukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya Urais.

Shangwe hiyo imekuja baada ya Rais Samia kutamka hadharani kuwa anataka kuacha alama katika uongozi wake atakapokuwa anajiandaa kurejea Nyumbani Kizimkazi na kuja kuwahoji walipofikia kimafanikio na kimaendeleo katika Masuala Mazima ya ushirika na ugani.

Kauli ya kusema kuwa atakapo Kuwa anajiandaa kurejea Kizimkazi miaka hiyo ya mwishoni kuelekea 2030.imemaanisha kuwa Rais wetu Mpendwa amekubali Ombi na Maombi ya Mamilioni ya watanzania wa makundi mbalimbali waliohitaji kuona akiendelea kuwa Rais Wetu.

Ndio maana makundi kama Walimu walikuwa wamemchangia mamilioni ya pesa kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Urais.pia wahandisi nao pia walikuwa wamechanga mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumpatia Usafiri wa helikopta atakayo kuwa anaruka nayo angani na kuteka anga lote la Tanzania kikomandoo wakati wa kampeni,huku bendera ya kijani ikipepea angani.

Kwa hakika Rais Samia ameleta furaha kubwa sana hapa Nchini kwa kauli yake hiyo.ikumbukwe ya kuwa mamilioni ya watanzania chaguo lao ni Rais Samia tuu hapo Mwakani. Watu wengi sana walikuwa wamesema kuwa wanahitaji kuona CCM ikimpatia Rais Samia ugombea Urais.jambo ambalo hata hivyo CCM kupitia viongozi wake ilijibu kwa kusema kuwa Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.

Kwa hakika Rais Samia ndiye ameshikilia Furaha ya Mamilioni ya watanzania.kama Ingetokea akakataa ombi la watanzania,kwa hakika angewakatisha sana tamaa na kuwavunja moyo mamilioni ya watanzania ambao kwa sasa wamejaa matumaini tele na uhakika wa kutimiza ndoto zao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
usikute na huyu naye kuna watoto naye wanamwita baba.
 
Hivi mimi hapa bila hata kugombea nitadhubutu kusema 2030 nitakuwepo?jaribuni kuwa na hofu ya Mungu kwa kumtanguliza mbele ya mawazo yetu tusijihakikishia uzima kwa akili zetu hakuna ajuaye kesho yake mfano rais wa Iran alipopanda helkopta alijua atafika anako kwenda lakini hakufika tuseme majaliwa ya mwenyezi Mungu akipenda tusiwe na kiburi cha kulindwa na tiss bali tujisifu kwa kulindwa na malaika wa Mungu
 
Sheitwaini ni huyo Mama yako Samia, amebaka mchakato wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili "tutakapopiga kura kwingine CCM iunde serikali". Samia ni sheitwaini kabisa na hakika kwa kitendo hiki cha kuhujumu upatikanaji wa katiba, atakufa kifo sawa sawa na mwendazake
Umekosa kabisa akili na adabu.inaonyesha umekua bila kupata malezi ya wazazi wako
 
Hivi mimi hapa bila hata kugombea nitadhubutu kusema 2030 nitakuwepo?jaribuni kuwa na hofu ya Mungu kwa kumtanguliza mbele ya mawazo yetu tusijihakikishia uzima kwa akili zetu hakuna ajuaye kesho yake mfano rais wa Iran alipopanda helkopta alijua atafika anako kwenda lakini hakufika tuseme majaliwa ya mwenyezi Mungu akipenda tusiwe na kiburi cha kulindwa na tiss bali tujisifu kwa kulindwa na malaika wa Mungu
Jibu ni moja tu kuwa kwa uwezo na majaliwa ya Mwenyezi Mungu tunaendelea kusonga mbele kama Taifa na Rais Samia mpaka 2030.Mungu aliyemuinua Rais Samia ndiye atakaye endelea kumjalia uzima pamoja na kumpa nguvu na maarifa ya kuliongoza Taifa letu mpaka 2030
 
IPo siku utaacha kushadadia ujinga . Halafu cha kushangaza mtu akishakuwa na namba ya viongozi anashida unaona umeshikilia mpini kumbe makali . Shauri yako wengi hapa wamesifia vyama vingi leo hii hawapo . NISHAKUAMBIA FUATA MAISHA YAKO KWA FAIDA YAKO. MIE CCM ILA SIIPONGEZI KAMA NI WANAFANYA UJINGA UJINGA
Hatuna mwana CCM mjinga mjinga kama wewe
 
😂😂😂
Wewe ni fala sana
Nina kazi na biashara sitegemei wanasiasa wanilipe mshahara mwisho wa mwezi.

Unadhani mimi ni shoga kama wewe nategemea kusifia watu ili mkono uende kinywani.

BE A MAN!
Wewe huna kazi zaidi ya umbea na porojo tu
 
Back
Top Bottom