Na haijui tabia ya mswahili orijinale wa pwani.Kila aongealo,chambua.😂😂😂😂😂Mwendazake hajawahi kufanya mema kwa wananchi
Haishangazi maana wewe ni kati ya wale wanyongeMkuu mbona unaonokana una chuki kuu na bwana yule?
Ama wewe ni moja kati ya waliotumbuliwa na vyeti feki?
Unapata wapi ujasiri wa kuwazungumzia watanzania wote kwamba atumpendi rais wetu mpendwa?
Kama wewe unamchukia ni sawa ila mimi sina chuki wala makasiriko nae hata kidogo.
Kuwa na aman ameshafariki ni mwaka sasa.
Mwache apumzike kwa amani.
Hiyo kauli "ange" kama akukubaliana na mfumo ule kwanini aliendelea kubaki madarakani?Angestep down leo angekuwa Rais??
Simba wa Yuda au Simba wa Chato-RubondoView attachment 2172780
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Sema wewe ndio umpendi ila sisi tunampenda usitusemee kuwa na amani alishafariki mwaka sasa punguza chuki kwa marehemu muache apumzike kwa amani.Hakuna mtanzania anampenda yule mtu katili
Kwani SIMBA WA YUDA ni nani??Dunia ina amani kutokana na uvumilivu wa imani tulionao wakristo na hilo halina ubishi. Sijapendezwa kabisa na kauli hiyo ya Simba wa Yuda hata kama ni alikuwa mkali kama simba ni bora angeitwa hata simba wa Chato
Amani ya moyo huku una lala njaa wewe na ukoo wako?Mambo yanaenda, wewe huoni!?. Wala hatutaki mambo mengi, tunahitaji tu amani ya moyo.
Jesus is Lord of lords
Yuda ni moja ya watoto wa Yacob au Israel ambayo ni moja wa Kabila 12 za Israel na Yesu ni mzawa katika kabila la Yuda na ni mfalme na ufalme wake unafananishwa na mnyama Simba. Kwa nini Simba? Simba ni mnyama mwenye nguvu na jasiri sana na pia ni mfalme wa Pori.Kwani SIMBA WA YUDA ni nani??
Huyo YUDA ni nani??
Maana Simba anajulikana ni mnyama hatari.
Jisemee mwenyewe na vyeti feki wanzako, waTanzania kwa mamilioni wanampenda na kumkumbuka Magu kwa kuwatumikia kwa moyo na upendo mkuu wa kizalendo.Yupo sahihi sana mama .
Hakuna mwananchi anayemkumbuka jiwe kwa mema.
Pia Simba huwakilisha ufalme uliokengeuka. Usiomtambua Mungu wa Israel Yehova.Yuda ni moja ya watoto wa Yacob au Israel ambayo ni moja wa Kabila 12 za Israel na Yesu ni mzawa katika kabila la Yuda na ni mfalme na ufalme wake unafananishwa na mnyama Simba. Kwa nini Simba? Simba ni mnyama mwenye nguvu na jasiri sana na pia ni mfalme wa Pori.
Hakuna kitu kama hichoJisemee mwenyewe na vyeti feki wanzako, waTanzania kwa mamilioni wanampenda na kumkumbuka Magu kwa kuwatumikia kwa moyo na upendo mkuu wa kizalendo.
Simba wa Yuda ni mfalme wa amaniPia Simba huwakilisha ufalme uliokengeuka. Usiomtambua Mungu wa Israel Yehova.
Daniel sura ya 7. Imetaja mnyama mwenye kinwa kama cha simba mwenye miguu mwili. Ufalme wa Babel