Rais Samia awasili Jijini Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku 2

Rais Samia awasili Jijini Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku 2

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Leo Moshi IGP amewatunuku askari polisi zaidi ya elfu Tano waliohitimu,
Kesho Arusha hatujui raisi haramu atatunuku wanajeshi wangapi...!!!
Hayo mambo yanatokea sio bahati mbaya ni kusudio maalumu, hivyo watanzania inabidi tujitafakari sana hatma ya nchi yetu hasa kuhusu mauaji ya kutisha yaliyotokea kwa ndugu zetu.
 
Uliza hao watu wameanza lini kozi?

TMA kila mwaka ni lazima watu watunukiwe nyota sio matukio ya kushangaza kiasi iko
 
Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 22 Novemba, 2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli.

Soma Pia: RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ
Kwani hawana stoniz au hawajui kuzitumia?
 
Back
Top Bottom