The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Karibu sana Idi Amina MamaKaribu sana Arusha Mh. Rais.
Karibu sana Idi Amina MamaKaribu sana Arusha Mh. Rais.
Mzee umeongea ukweli kama vile upo ccp..TMA kila mwaka wanatunukiwa mwezi wa 11 lakini hao polisi watu wana mwaka mmoja na nusu wapo kozi kila siku walikuwa wana sogezewa siku mbele
ila we mzee unahangaika sana.Karibu sana Arusha Mh. Rais.
Kabisa ila watu wanaona kama ana jenga ukaribu na jeshiMzee umeongea ukweli kama vile upo ccp..
Hata intake iliyofuata baada ya hawa ilipitilizia huko huko porini.
Rais aliyejipitisha mwenyewe!Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 22 Novemba, 2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli.
Soma Pia: RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ