Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Uliza hao watu wameanza lini kozi?Leo Moshi IGP amewatunuku askari polisi zaidi ya elfu Tano waliohitimu,
Kesho Arusha hatujui raisi haramu atatunuku wanajeshi wangapi...!!!
Hayo mambo yanatokea sio bahati mbaya ni kusudio maalumu, hivyo watanzania inabidi tujitafakari sana hatma ya nchi yetu hasa kuhusu mauaji ya kutisha yaliyotokea kwa ndugu zetu.
Ndo kipindi hiki sasa? MmmhUliza hao watu wameanza lini kozi?
TMA kila mwaka ni lazima watu watunukiwe nyota sio matukio ya kushangaza kiasi iko
TMA kila mwaka wanatunukiwa mwezi wa 11 lakini hao polisi watu wana mwaka mmoja na nusu wapo kozi kila siku walikuwa wana sogezewa siku mbeleNdo kipindi hiki sasa? Mmmh
Kama hizi??Wazee wa kichaga hata radi za masafa mafupi zitumeni msituangushe
Kwahiyo kipindi hiki ndo sahihi??TMA kila mwaka wanatunukiwa mwezi wa 11 lakini hao polisi watu wana mwaka mmoja na nusu wapo kozi kila siku walikuwa wana sogezewa siku mbele
Kwani hawana stoniz au hawajui kuzitumia?Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 22 Novemba, 2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli.
Soma Pia: RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ
Mbona hajawekewa Red Carpet? Na Kilemba mbona si cha Rangi ya Utawala(red)?Mafunzo
Kisimi kimeloa damuRais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 22 Novemba, 2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli.
Soma Pia: RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ