Rais Samia awasili Jijini Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku 2

Hao ndiyo wananchi wake halisi waliomchagua kwa kishindo, na pia kumpa hicho cheo chake kipya. Hivyo lazima awatunuku.
 
TMA kila mwaka wanatunukiwa mwezi wa 11 lakini hao polisi watu wana mwaka mmoja na nusu wapo kozi kila siku walikuwa wana sogezewa siku mbele
Mzee umeongea ukweli kama vile upo ccp..
Hata intake iliyofuata baada ya hawa ilipitilizia huko huko porini.
 
Rais aliyejipitisha mwenyewe!

Binafsi sio rais wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…