Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Kuna time namkubali kagame maana wale wanaoichafua Rwanda anatuma mtu wake na anakwenda kumleta au kummaliza huko huko alipo.

Sasa hiki kidubwasha sijui kinani leo kuna watu wanakishika masikio wkt kimechafua sana watu.
Ujinga!
 
Jamani acheni kufundisha watu roho mbaya,dunia ingekuwa hivyo mnachotaka ninyi Wala pasingekalika,Kuna watu wameumizwa Sana lakini yalipita tu,mnataka tufundishane kurithi maadui?mi mtu ambaye hajanikosea Mimi hawezi kuwa adui yangu,adui wa Kaka yangu ni adui wake yeye na si Mimi,ya nini kufundishana chuki zisizo na msingi?wazungu wenyewe mametesa na kuua mababu zetu,lakini leo ndo mabosi wetu,rafiki zetu na mashemeji zetu tumeoleana,hebu acheni upuuzi wenu na fanyeni kazi,watu mnasahau Hadi maandiko yanasemaje kuhusu msahama,? Kizazi Cha ajabu hiki,haya yooote mnayoyaona hapa Duniani ni Mambo ya kupita hatuondoki na chochote hapa,pesa,nyumba,magari,yoote ni matakataka ya dunia,huezi nielewa kwanini nimeita matakataka mpaka siku uyaache ndo utanielewa,hebu tuishi jamani,tuishe tufurahie siku zetu chache tulizopewa hapa Duniani na MUNGU,chuki hukaa kwenye vifua vya wapumbavu
 
Kuna time namkubali kagame maana wale wanaoichafua Rwanda anatuma mtu wake na anakwenda kumleta au kummaliza huko huko alipo.

Sasa hiki kidubwasha sijui kinani leo kuna watu wanakishika masikio wkt kimechafua sana watu.
Kuichafua au kuikosoa ikikosea,je serikali yake ni ya mbinguni na haikosei?ugonjwa wa Africa huuu
 
MangeKimambi ndio kiboko ya mijitu mibwege, hasa lile lililokuwa na bichwa la samaki
 
Tusirithi maadui - by JK.

Mange alijipendekeza mwenyewe kama raia wengine wala hakuwepo kwenye ratiba, Mama naye akaonyesha uungwana..
 
Hakuna rafiki wakudumu wala adui wa kudumu! Kama wewe mange ni adui wako wapo wanaomuona mange ni rafiki na mkombozi...
 
Wale polisi waliosema wanamsaka Mange popote alipo kwa udi na uvumba akiwa hai au amekufa si ndiyo hapo walitakiwa kumkamata na kumrudisha Tz kushitakiwa maana alijipeleka akiwa hai palepale walipo wao!? 🤣
 
Kuna time namkubali kagame maana wale wanaoichafua Rwanda anatuma mtu wake na anakwenda kumleta au kummaliza huko huko alipo.

Sasa hiki kidubwasha sijui kinani leo kuna watu wanakishika masikio wkt kimechafua sana watu.
Hamia Rwanda
 
Zama za visasai zilizikwa Chato,mda wa kufukua makaburi umepita tunaganga yajayo ndio maana ya jina Suluhu..
 
Masikini mwee.....kapokelewa na Mange Kimambi....!!!? Balozi hakuna huko mpk anapokelewa na machinga Mange Kimambi??

Hananga kapuuzwa sana
Mange ndio yupi hapo kwenye picha?
 
Kuichafua au kuikosoa ikikosea,je serikali yake ni ya mbinguni na haikosei?ugonjwa wa Africa huuu
Soma uelewe,sijaandika kuichafua nchi, hivi akili huwa zinajaaga funza?.
 
🤣🤣🤣
 
Mange ndio yupi hapo kwenye picha?
Aliyekuja na bango la kijani halafu likachukuliwa halafu akawa karibu kabisa na rais kwenye video. Rais anasikikia akishukuru kumuona mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…