Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Mama najua ni mwenye haki huruma na upendo hana shida na yoyote yeye ni rais wa kila mtanzania.

Lakini mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan asingekutana kabisa na Mange Kimambi. Angekataa kabisa.

Mange ameumiza sana mioyo ya wanawake tena marafiki wa mama.

Kamdhalilisha mama Rita Mlaki yani bila sababu kwa kumtukana mama wa watu matusi ya nguoni.

Kawadhalilisha pia Hoyce Temu (Mteule wa mama) na familia yake. Kamdhalilisha na kumtukana matusi dada Angela Kairuki.

Licha ya wanawake kamtukana head of state rais ndugu john pombe Magufuli.

Kwa maoni yangu mama hakustahili kabisa kuonana na kusalimiana na Mange Kimambi.

Ndiyo wawekezaji wenyewe hao aliokwenda kukutana nao huko
 
Inasikitisha sana rais kukuta na muhuni yule anqyetumia muda wake mwingi kuitusi serkali
Watu lzm wafikiri tofauti nyuma ya pazia
 
Tumia hakupaswa, sio hakustahili…. sihusiki na hoja yako.
 
Mama najua ni mwenye haki huruma na upendo hana shida na yoyote yeye ni rais wa kila mtanzania.

Lakini mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan asingekutana kabisa na Mange Kimambi. Angekataa kabisa.

Mange ameumiza sana mioyo ya wanawake tena marafiki wa mama.

Kamdhalilisha mama Rita Mlaki yani bila sababu kwa kumtukana mama wa watu matusi ya nguoni.

Kawadhalilisha pia Hoyce Temu (Mteule wa mama) na familia yake. Kamdhalilisha na kumtukana matusi dada Angela Kairuki.

Licha ya wanawake kamtukana head of state rais ndugu john pombe Magufuli.

Kwa maoni yangu mama hakustahili kabisa kuonana na kusalimiana na Mange Kimambi.
Oy..Mama hakwenda kule kukutana na Mange,mwacheni mama wa watu ana majukumu..
 
Kuna time namkubali kagame maana wale wanaoichafua Rwanda anatuma mtu wake na anakwenda kumleta au kummaliza huko huko alipo.

Sasa hiki kidubwasha sijui kinani leo kuna watu wanakishika masikio wkt kimechafua sana watu.
 
Mama najua ni mwenye haki huruma na upendo hana shida na yoyote yeye ni rais wa kila mtanzania.

Lakini mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan asingekutana kabisa na Mange Kimambi. Angekataa kabisa.

Mange ameumiza sana mioyo ya wanawake tena marafiki wa mama.

Kamdhalilisha mama Rita Mlaki yani bila sababu kwa kumtukana mama wa watu matusi ya nguoni.

Kawadhalilisha pia Hoyce Temu (Mteule wa mama) na familia yake. Kamdhalilisha na kumtukana matusi dada Angela Kairuki.

Licha ya wanawake kamtukana head of state rais ndugu john pombe Magufuli.

Kwa maoni yangu mama hakustahili kabisa kuonana na kusalimiana na Mange Kimambi.
Mange ni mtanzania anaachaje kukutana nae

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwani mama alipanga kukutana nae au ni diaspora tu wamejikusanya kumlaki mama,na kimbelembele cha Mange tu kutaka aonekane bt sio kua mama alipanga kukutana nae
Mange alitumia fursa kupata kiki.
 
bi mkubwa nimependa hiyo avatar Yako
Namkubali sana Huyo mwanamama Aretha Franklin!
Queen of soul!

R.I.P
Wewe nawee si umuambie tuuu?! Unaanzaa mbaaaliii sijui unaipenda na kuikubali avatar picha yake. Muambie tu be confident wewe ni mwanaume bana.

Sauh'waaa!
 
Mama yuko sahihi.....

Mange ni mwanaharakati aliyetuumiza sana mioyo yetu....ila AMEJIRUDI.........

Na binadamu husameheana.......

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Mama hana nongwa kabisa! Ni mtu wa watanzania wote.
Ila nachowaza Mange akithubutu kutia mguu Tanzania wanaweza kumrestisha kwa Amani.
 
Back
Top Bottom