Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Jiwe alidhani maadui zake ni wapinzani kumbe ndani ya nyumba ya CCM ndipo alikua ana maadui tena hatari sana...
 
Rais S. S. H na Mange Kimambi pichani.

Nimeona watu wametoa maelezo yenye hisia tofauti kufuatia Mange Kimambi kuonekana katika picha na Mhe. Rais huko nchini Marekani.
Acha kumsemea Kimambi,
Yeye ni mtu mzima
Kama kutubu na kujisafisha Haina ugumu, angeandika neno dogo tu kwenye page yake, "I'M SORRY"
Angalia jezi aliyovaa ilivyoandikwa!
 
[emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tatizo lako ni moja. Unajaribu kutafsiri neno kwa neno kutoka kiswahili kwenda kiingereza. Namna hii utakuwa unaongea kiingereza cha kuchekesha muda wote. Namna nzuri ni kuelewa sentensi halafu unaiandika kwa kiingereza.
show me where I went wrong ?
 
Acha kumsemea Kimambi,
Yeye ni mtu mzima
Kama kutubu na kujisafisha Haina ugumu, angeandika neno dogo tu kwenye page yake, "I'M SORRY"
Angalia jezi aliyovaa ilivyoandikwa!
Hamjawahi kutubu

USSR
 
Rais S. S. H na Mange Kimambi pichani.

Nimeona watu wametoa maelezo yenye hisia tofauti kufuatia Mange Kimambi kuonekana katika picha na Mhe. Rais huko nchini Marekani.

Mi
Hawa kwanini wameficha nywele zao, na mwingine sura kaficha?
 
Ameona Hoyce Temu kapata ubalozi na yeye anautafuta kwa nguvu
 
Wakati wa Magufuli hii nchi ilikuwa na sida, heshima, na ubabe. Leo nchi haina hata security kwaajili ya Rais wapo wapambe tu. Manina!!! Aibu
 
Mbowe ana kesi ya ugaidi...
Mange aliyetusi raisi, chama na wa Tanzania anapiga selfie na huyo mama yenu
 
CCM ilishaanza kulegea hadi alipoingia Magufuli na kuteka vyombo vyote vya dola. Simwone mwingine mwenye sifa alizokuwa nazo Magufuli kuweza kuteka kila kitu kama ilivyokuwa wakati wake.

Katika hali hiyo, CCM sasa hivi inaonekana kama mkate mgumu tu unaowaaminisha watu kama wewe kuwa hawawezi kuondolewa madarakani.
Hali imekwishabadilika sana baada ya Magufuli.
Jifariji tu,huwajui ccm vizuri wewe,wale ni zaidi ya beast!!
 
jifariji tu,huwajui ccm vizuri wewe,wale ni zaidi ya beast!!
CCM ya sasa, nisiwajue?

Siku ikidondoka na chama kinakwisha, kwa sababu wote waliomo humo ndani wamo kwa sababu ya maslahi tu basi. Kwa sasa hawana kiongozi wa kutegemewa kukisimamisha chama kwenye misingi inayoeleweka kwa wananchi.

Mianya ya kufanya ulaghai ikifungwa, chama kinapoteza uongozi na ndio mwisho wao hapo kama asipoibuka kiongozi imara haraka.
 
Back
Top Bottom