Mama najua ni mwenye haki huruma na upendo hana shida na yoyote yeye ni rais wa kila mtanzania.
Lakini mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan asingekutana kabisa na Mange Kimambi. Angekataa kabisa.
Mange ameumiza sana mioyo ya wanawake tena marafiki wa mama.
Kamdhalilisha mama Rita Mlaki yani bila sababu kwa kumtukana mama wa watu matusi ya nguoni.
Kawadhalilisha pia Hoyce Temu (Mteule wa mama) na familia yake. Kamdhalilisha na kumtukana matusi dada Angela Kairuki.
Licha ya wanawake kamtukana head of state rais ndugu john pombe Magufuli.
Kwa maoni yangu mama hakustahili kabisa kuonana na kusalimiana na Mange Kimambi.
Ndiyo wawekezaji wenyewe hao aliokwenda kukutana nao huko