We hujajua kuna magroup yapo ya kupush hizi agenda wanakuwa na simu zao mbili mbili za mkopo, akishatuma jamii forum, facebook, X, instagram na ma social media mengine mengi anascreen shot anatuma kwenye magroup waone ashafanya kazi, alafu anamtumia mkubwa aone kazi yake ashafanya then anambip, mkuu akishaona screenshot ya masocial media yote anatuma allowance ya vocha na ka elfu thalelathin ka kuendelea kupush hizi agenda, haya magroup wapo wabunge wakuu, wilaya, makatibu kata, wakuu wa mikoa, mawaziri na machawa wao Hela za tanzania zinatafunwa kiboya, nishakaa nao mimi unakuta mtu unamdai unamchek anakwambia namfukuzia waziri posta akachukue posho ndio akulipe. Vijana tupambane kutafuta pesa tuwe huru na maoni yetu wanasiasa wanawatumia vijana vibaya, unampigia simu mtu anapokea anakwambia nipo kwenye boda boda namwahi waziri airport anaenda kupanda ndege yan kwa sauti ya boda unajua kabisa boda inakimbia vibaya mno, its very risk aiseee .Huyu mchizi bado hajalamba shavu? Siyo kwa uchawa huu
Uwe na Heshima na adabu kwa Rais wetu.Tanzania siyo kisiwa .ni lazima ishirikiane na nchi zingine namataifa mengine katika kuona tunajenga mashirikiano yenye kuleta tija na matokeo chanya kwa watanzania.Avumilie asituuze tu, Rais anakuwa kama dalali na viwanja
Silipwi kwa ajili ya kuandika hapa jukwaani na wala sijawahi kulipwa kwa kazi ya kuandika hapa.mimi nafanya kazi ya kizalendo na siyo kama wewe unavyowaza na kujaribu kupotosha hapa jukwaani kwa mapengo yako Binafsi.We hujajua kuna magroup yapo ya kupush hizi agenda wanakuwa na simu zao mbili mbili za mkopo, akishatuma jamii forum, facebook, X, instagram na ma social media mengine mengi anascreen shot anatuma kwenye magroup waone ashafanya kazi, alafu anamtumia mkubwa aone kazi yake ashafanya then anambip, mkuu akishaona screenshot ya masocial media yote anatuma allowance ya vocha na ka elfu thalelathin ka kuendelea kupush hizi agenda, haya magroup wapo wabunge wakuu, wilaya, makatibu kata, wakuu wa mikoa, mawaziri na machawa wao Hela za tanzania zinatafunwa kiboya, nishakaa nao mimi unakuta mtu unamdai unamchek anakwambia namfukuzia waziri posta akachukue posho ndio akulipe. Vijana tupambane kutafuta pesa tuwe huru na maoni yetu wanasiasa wanawatumia vijana vibaya, unampigia simu mtu anapokea anakwambia nipo kwenye boda boda namwahi waziri airport anaenda kupanda ndege yan kwa sauti ya boda unajua kabisa boda inakimbia vibaya mno, its very risk aiseee .
Mbona wanakuja mara nyingi sana.si ni majuzi juzi tu hapa tumempokea Rais wa Ujerumani? Makamu wa Rais wa Marekani alitembelea hapa,rais wa zambia amekuja hapa.viongozi mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali Duniani kote tumewapokea hapa nchini.Ni lini rais samia ataalika mataifa ya nje yaje tanzania kama huo mkutano wa saudia kumbuka sisi ni matajiri na tuna fursa na raslmali nyingi ili waje kuwekeza na ikibidi tuwakopeshe.
Mbona wanakuja mara nyingi sana.si ni majuzi juzi tu hapa tumempokea Rais wa Ujerumani? Makamu wa Rais wa Marekani alitembelea hapa,rais wa zambia amekuja hapa.viongozi mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali Duniani kote tumewapokea hapa nchini.
Acha uongo wako wewe.kama serikali haikusanyi kodi ingewezaje kupata kodi ya zaidi ya Trilioni mbili kwa mwezi? Ingeweza vipi kulipia mishahara ya watumishi wa umma kwa wakati? Ingeweza vipi kutoa elimu bure,kujenga miradi mbalimbali kila kona ya Taifa letu? Ingeweza vipi na ingetoa wapi pesa za kuboresha huduma za afya , barabara,kununua magari ya wagonjwa,kupeleka madawa,vifaa tiba mahospitalini?Zururaji tu, anashindwa kukusanya kodi KADCO anazurura na kibakuli
Uwe na subira maana mambo mazuri hayataki haraka.Tunahitaji mkutano awalete wote pamoja na ikibidi tuwape mikopo kama alivyoenda huko saudia na kwengineko.
100Kipindi hiki anaenda kusaini mikataba mingapi ya Siri??
Maendelea yapi unayoyazungimzia wewe mbeba laana?Siyo rahisi kuteuliwa, kajifungua juzi juzi hapa bado ana nyonyesha.
Maendeleo yanaletwa Kwa ushirikiano,ukijifungia na umaskini wako utapata maendeleo yapi Sasa.Mjinga wewe unasubiri waarabu na wachina wakuletee maendeleo, maendeleo unatakiwa ujiletee mwenyewe. Acha mawazo ya kijinga
Acha ujinga ,Bila Samia kuwajulosha kadco mlikuwa mnapigwa na mashujaa mbuzi wenu.Zururaji tu, anashindwa kukusanya kodi KADCO anazurura na kibakuli
Nashukuru sana mkuu kwa michango yako chanya yenye nguvu na kuambatanisha na picha .Nashukuruuu Sanaaaa mkuuMaendeleo yanaletwa Kwa ushirikiano,ukijifungia na umaskini wako utapata maendeleo yapi Sasa.
Wachina , Waarabu nk ni wawekezaji na Wana mtaji Kwa Kushirikiana nao inakusaidia wewe maskini kujenga uwezo na kujikwamua.
View: https://twitter.com/UchumiForum/status/1722833833404354631?t=rO4cTnN0XUdXPKyLhrEpqA&s=19
Mkuu umesahau ile tafiti iliyofanyika na kuchapishwa na Millard ayo kuhusu wafuasi wa vyama vya siasa TZ?HAPANA wewe endelea na ukasuku, tafuta MAISHA Dogo
Marekani yenyewe inahamasisha uwekezaji na wawekezaji kuwekeza nchini mwake ili kutengeneza fursa za ajira sembuse Tanzania? Sasa wewe bweteka na kujilisha ujinga uone unavyobakia na umasikini wako wakati mataifa mengine yakisonga mbele kwa kasi.Waaabu ni wajanja sana, wameona in next 30 yrs mafuta yatakuwa hayana soko tena Duniani kwa kazi ya technologia inavyokuja kwa kasi, sasa wameanza urafiki na nchi za Africa kuona nini wanaweza kukifanya (kuwekeza), kumbuka Africa ndiyo bara pekee duniani lenye kila kitu ila wananchi wake almost 70% ni maskini wa kutupwa.
ni lazima wawe waarabu tu ndugu?Marekani yenyewe inahamasisha uwekezaji na wawekezaji kuwekeza nchini mwake ili kutengeneza fursa za ajira sembuse Tanzania? Sasa wewe bweteka na kujilisha ujinga uone unavyobakia na umasikini wako wakati mataifa mengine yakisonga mbele kwa kasi.
Kwani Tanzania ina wawekezaji wa kutoka uarabuni pekee? Marekani ,china,Ujerumani n.k.wamewekeza hapa nchinini lazima wawe waarabu tu ndugu?