JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Leo Arusha Manyara barabara ni jam balaaNgoja na mimi niunge msafara...
Huyu anafanya kutoka moyoni huwezi kuona misafara ya ajabu ajabu tofauti na huyu mwigizaji mpenda misafaraNi jambo jema
Huko Zambia nako Rais wao yuko mgodini akisimamia Uokoaji
SaanaLeo Arusha Manyara barabara ni jam balaa
Kwani angepata Helicopter angepungukiwa na nini?Saana
Siasa....Kwani angepata Helicopter angepungukiwa na nini?
Kulikuwa na ugumu gani kupanda Helcopita akaenda moja kwa moja kutokea Dar to Katesh? matumizi mabaya ya fedha za umma.
Asante sana kwa taarifa, tunafuatiliaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
Kazi kweli kweliUmma ukadanganywa kua kasitisha ziara ili awahi janga la Kateshi.
Siku 4 baadae ndio anarejea nchini!!
Yule mwingine ambae anaficha mvi zisionekane hata moja,akaibuka kudanganya kua Makamo yupo kazini!!
Mtu ambae anaficha hata mvi zake,ndio anaweza kuongea ukweli?!! Kasahau kwa Magufuli pia alitolewa chambo adanganye,huku Mama akiwa ziarani mkoani Tanga na hatimae kikaumana nusu mlingoti!!
Naona umemuamulia!Kulikuwa na ugumu gani kupanda Helcopita akaenda moja kwa moja kutokea Dar to Katesh? matumizi mabaya ya fedha za umma.
Zambia nako kumetokea majanga?Ni jambo jema
Huko Zambia nako Rais wao yuko mgodini akisimamia Uokoaji