Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

Huyu anafanya kutoka moyoni huwezi kuona misafara ya ajabu ajabu tofauti na huyu mwigizaji mpenda misafara
NENDA KAISHI ZAMBIA KWA WATU WA KIMYAKIMYA SISI TUMESHAZOEA MISAFARA TUACHE NA MISAFARA YETU YAANI M IJITU MINGINE HAIJUI HATA PROTOCAL
 
Mpka Sasa serikali ya mama Samia haijaokoa hata mtu mmoja. Sana sana wanapinga selfie tu huko na kusaidia kubeba maiti
 
Mpka Sasa serikali ya mama Samia haijaokoa hata mtu mmoja. Sana sana wanapinga selfie tu huko na kusaidia kubeba maiti
Haijaokoa?
Kivipi mkuu? Ina mana watu wanaendelea kufa au?
 
Haijaokoa?
Kivipi mkuu? Ina mana watu wanaendelea kufa au?
Tope limeacha kushika na mvua haijanyesha tangu juzi. Kwahiyo madhara yameacha kutokea.

Lkn kusanyiko lote lile la serikali halijafanikiwa kumnasua mwananchi yeyote aliyekuwa hai ambaye alikuwa amenaswa ama anapelekwa na tope.
Bure kabisa!!
 
Rais tunaomba uunde tume kuchunguza maeneo yenye viashiria vya kufanana na Hanang, ili next time tuepuke majanga ya namna hiyo.

WANANCHI WANAOISHI MAENEO HATARI WAONDOLEWE KABLA YA MAJANGA HAYAJAWAFIKA.
 
Tope limeacha kushika na mvua haijanyesha tangu juzi. Kwahiyo madhara yameacha kutokea.

Lkn kusanyiko lote lile la serikali halijafanikiwa kumnasua mwananchi yeyote aliyekuwa hai ambaye alikuwa amenaswa ama anapelekwa na tope.
Bure kabisa!!
Pale wanaenda kuchek aftermath,
Kuangalia wanawasaidiaje wahanga,
Ndio mana unaona kina Aweso wapo busy kusambaza matank ya maji,
Mcherengwa yupo busy kutoa tope mitaa ifanye kazi kama kawaida,

Tope lile lilikuwa la kawaida hadi kufika asubuhi watu wengi walikuwa washanasuliwa, Sendiga kafanya kazi kubwa sana
 
Sendiga kafanya kazi kubwa sana
Sendiga kafanya kazi kwa vifaa vipi? Mikono na chepe?? Angalia ujinga huu!!!

Screenshot_20231206-221453.png
 
Back
Top Bottom