saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi.
Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama njia ya kuona changamoto na kuzirekebisha.
"MH RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWE MACHO SANA NA WATU WENYE HULKA YA KUMSIFIA KAMA NJIA YA KUMDANGANYA ASIWEZE KUONA UDHAIFU AU CHANGAMOTO ZA NCHI" Askofu Bagonza