🤣🤣🤣🤣Kusifiwa na mtu aina ya Kigwa, unayejua kabisa yupo tayari kusema lolote ili arudi kwenye system lazima ushtuke kama kweli unajipenda, kuna watu wako tayari kuonekana makatuni ilimradi warudi kwenye v8 walizozimisi baada ya kuondolewa uwaziri.