Mimi huwa naongea ukweli kwa ushahidi na siyo kuandika tu Kama stori,Mambo aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia kiutendaji ni makubwa Sana na yanayoonekana mbele za mtu yeyote mwenye kuona na asiye taka kujipa upofu wa makusudiUkiwa umezungukwa na Chawa kama 5 tu aina ya Lucas mwashambwa, aisee unaweza ukafikiri wewe ni bonge la Kiongozi/Mtawala!!
Maana hao Chawa wa desturi ya kumpamba mtu, mpaka wanapitiliza.
chawa acha uduwanzi basi.Mimi huwa naongea ukweli kwa ushahidi na siyo kuandika tu Kama stori,Mambo aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia kiutendaji ni makubwa Sana na yanayoonekana mbele za mtu yeyote mwenye kuona na asiye taka kujipa upofu wa makusudi
Mwenzako anahudumia teuzi yaani alishaapishwa kitambo.Kina Lucas mwashambwa 😂😂😂 teuzi zimevurugika
Kuongea ukweli wenye ushahidi siyo uchawaCHAWA namba moja na mpiga makelele yasiyo na kichwa wala miguu ili tu apate uteuzi ni Lucas mwashambwa, Mnyiha wa ajabu kabisa
Una over do, mwanaume asiye na kiasi kwenye jambo lolote anapoteza sifa yake ya uanamumeKuongea ukweli wenye ushahidi siyo uchawa
Namba mbili ni the sunk cost fallacy.CHAWA namba moja na mpiga makelele yasiyo na kichwa wala miguu ili tu apate uteuzi ni Lucas mwashambwa, Mnyiha wa ajabu kabisa
Hongera sana! Mama amewasifia sana leo chawa wake.Mimi huwa naongea ukweli kwa ushahidi na siyo kuandika tu Kama stori,Mambo aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia kiutendaji ni makubwa Sana na yanayoonekana mbele za mtu yeyote mwenye kuona na asiye taka kujipa upofu wa makusudi
Baba Askofu hongera kwa kusamsaidia Rais wetu kuwajua wabaya waliomzungukaRAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi.
Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama njia ya kuona changamoto na kuzirekebisha.
"MH RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWE MACHO SANA NA WATU WENYE HULKA YA KUMSIFIA KAMA NJIA YA KUMDANGANYA ASIWEZE KUONA UDHAIFU AU CHANGAMOTO ZA NCHI" Askofu Bagonza
View attachment 2467850
Rais Samia Suluhu anamaono ya mbali na ndio maana ana sikiliza maoni ya wananchi alafu unakuta mtu anasema eti mama hajaachia uhuru wa kutoa maoni mama anasikiliza maoni na ya kuyafanyia kaziRAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi.
Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama njia ya kuona changamoto na kuzirekebisha.
"MH RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWE MACHO SANA NA WATU WENYE HULKA YA KUMSIFIA KAMA NJIA YA KUMDANGANYA ASIWEZE KUONA UDHAIFU AU CHANGAMOTO ZA NCHI" Askofu Bagonza
View attachment 2467850
Watumishi wa Mungu ndio hawa sasa.RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi.