π€£π€£π€£π€£Kusifiwa na mtu aina ya Kigwa, unayejua kabisa yupo tayari kusema lolote ili arudi kwenye system lazima ushtuke kama kweli unajipenda, kuna watu wako tayari kuonekana makatuni ilimradi warudi kwenye v8 walizozimisi baada ya kuondolewa uwaziri.
Huyo ni mshamba zuzu haswaa anaropokwa tuKina Lucas mwashambwa πππ teuzi zimevurugika
Chawa wa pili ni The Sunk Cost Fallacy 2CHAWA namba moja na mpiga makelele yasiyo na kichwa wala miguu ili tu apate uteuzi ni Lucas mwashambwa, Mnyiha wa ajabu kabisa
Huyu mdebwedo mchanga sana kifikraUna over do, mwanaume asiye na kiasi kwenye jambo lolote anapoteza sifa yake ya uanamume
Na CM785677Chawa wa pili ni The Sunk Cost Fallacy 2
Huyu Lucas anakera Sana unakuta kila siku anasema kitu kimoja tuKina Lucas mwashambwa [emoji23][emoji23][emoji23] teuzi zimevurugika
ππππ Usikiereke ndugu ndo kashakua hivyoHuyu Lucas anakera Sana unakuta kila siku anasema kitu kimoja tu
Bora Lucas mwashambwa huyu The Sunk Cost Fallacy 2 ni mshamba mmoja asiejielewa hawezi fani ya uchawa labda anabanduliwa ndicho ninachokijua toka kwakeChawa wa pili ni The Sunk Cost Fallacy 2
usisahau namba ya simuMimi huwa naongea ukweli kwa ushahidi na siyo kuandika tu Kama stori,Mambo aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia kiutendaji ni makubwa Sana na yanayoonekana mbele za mtu yeyote mwenye kuona na asiye taka kujipa upofu wa makusudi
Tena wewe ni chawa anaye kaa kwenye vuz...i kabisa[emoji117][emoji90]Mimi huwa naongea ukweli kwa ushahidi na siyo kuandika tu Kama stori,Mambo aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia kiutendaji ni makubwa Sana na yanayoonekana mbele za mtu yeyote mwenye kuona na asiye taka kujipa upofu wa makusudi
We taahira ,Mimi sijawahi na Wala hsitatokea kuwa Chawa hata siku Moja.Bora Lucas mwashambwa huyu The Sunk Cost Fallacy 2 ni mshamba mmoja asiejielewa hawezi fani ya uchawa labda anabanduliwa ndicho ninachokijua toka kwake
Anazidi kuwakana daily. Kwa wewe teuzi sahau. Utahangaika sana JF... Na namba za simu unaweka kila wakati. Uchawa Rais hataki. Anataka kufanya kazi na watu wenye akili siyo akina baba levo.Mimi huwa naongea ukweli kwa ushahidi na siyo kuandika tu Kama stori,Mambo aliyoyafanya mh Rais wetu mpendwa mama Samia kiutendaji ni makubwa Sana na yanayoonekana mbele za mtu yeyote mwenye kuona na asiye taka kujipa upofu wa makusudi
Hizi ID mbili ni mtu mmoja jina halisi ni Lucas MwashambwaBora Lucas mwashambwa huyu The Sunk Cost Fallacy 2 ni mshamba mmoja asiejielewa hawezi fani ya uchawa labda anabanduliwa ndicho ninachokijua toka kwake
Dah huyu Chawa kapitilizaKina Lucas mwashambwa πππ teuzi zimevurugika
alaaa kumbe ndio maana naona nikisema kuhusu lucas huyu fala anakuja kutetea tena kwa lugha kali πππππ kumbe anajibadili tu anakuja kujiteteaπππHizi ID mbili ni mtu mmoja jina halisi ni Lucas Mwashambwa