beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kuamka na kuacha kufanywa ngazi akisema, "Hawa watu wanakuja na maneno mazuri wanawafanya kuwa ngazi mnainama wanapanda. Wakifika wanapotaka, hamna maana"
Akiwa Mkoani Mara amesema Miradi inayoletwa ni ya Wananchi hivyo waifuatilie, na ikiwa haiendi waseme. Amesema kuna miradi imekaa muda mrefu bila kutekelezwa na watu wanakaa kimya na kujiumiza wenyewe