Huyo ni wasamani sana kwa mwana kijani yeyote🤔🤔Angewasema tume ya uchaguzi ndio ngazi iliyosababisha madhara YOTE haya,yaani Mahela yule angefunguliwa kesi ya uhaini kabisa
Si mmekuwa mstari wambele kukwamisha katiba mpya , acha dawa iwaingie.Mifumo yetu hairuhusu kwa kelele za wananchi kusikika ndio maana tukachagua wabunge ambao nao hawatekelezi majukumu yao.
Hivyo kwakua mifumo ni kandamizi hakuna litalofanyika labda viongozi wenyewe waone aibu.
Bunge liwe huru , mifumo ya kuwajibisha viongozi iwe accessible , independent na effective.
Mkuu unayaamini maneno yake?Angewasema tume ya uchaguzi ndio ngazi iliyosababisha madhara YOTE haya,yaani Mahela yule angefunguliwa kesi ya uhaini kabisa
Leo umewekewa betri mpya nini, mbona umetiririka vizuri sana?Mifumo yetu hairuhusu kwa kelele za wananchi kusikika ndio maana tukachagua wabunge ambao nao hawatekelezi majukumu yao.
Hivyo kwakua mifumo ni kandamizi hakuna litalofanyika labda viongozi wenyewe waone aibu.
Bunge liwe huru , mifumo ya kuwajibisha viongozi iwe accessible , independent na effective.
Inawawezekana Kuna mahali pabaya wamekamata🤔.Leo umewekewa betri mpya nini, mbona umetiririka vizuri sana?
Anatakatisha Shughuli ya uchafuzi mkuu wa 2020 anajifanya kama watz walichagua FisiemuMkuu unayaamini maneno yake?
Acha kumchafua Rais,timiza wajibu wako kwa kuwaripoti mafisadi .Yeye mwenyewe ashatufanya sisi ngazi