cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Una maanisha nn?Ukistaajabu ya kuendelea kuchapa kazi utayaona ya kuwatakia kheri kidato cha nne
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha nn?Ukistaajabu ya kuendelea kuchapa kazi utayaona ya kuwatakia kheri kidato cha nne
😂Kimoyomoyo ameitikia ni kazi kama kazi zingine....
Hakika ni kweliUchawa unaweza kuleta laana kwa generation yako bila kujua
By SEMAJI LA IKULU.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3149130View attachment 3149131