Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

Rais wa JMT Mh Dr Samia amewatumia Salam za kheri ya Mitihani Wanafunzi wa kidato cha 4

Rais Samia ametuma salaam hizo Leo ambapo Mitihani inaanza na Asubuhi hii wanafanya mtihani wa Geography na Mchana Biology

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia


Mungu wa mbinguni awabariki Wanafunzi wa kidato Cha 4

Ahsanteni sana 😀🌹
Akiwa pande zipi?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View attachment 3149130View attachment 3149131
Amina
 
Mbona mwandiko huu sio wa kwake ila yote kheri tunashukuru mama
 
Imenikumbusha Joe Bide akiwa kwenye mdahalo na Trump huku "anatwits" aka X kwenye account yake, hapo ndipo nilijua urais ni "taasisi" Ikuli ina watumishi wengi akiwemo Steve Mengele!
 
Ametuma salamu akiwa wapi?! Mwenyewe au?!
Tumesema Ikulu ya sasa haina tofauti na Leaders club! UhunIli, usanii, ujanja janja, uongo, uzushi, ubabaishaji, ugaigai!
 
Humu ndani sipaelew elew kabisa siku hizi comments zimejaa mafumbo, post ndio usiseme
 
Obviously, ukiwa Rais ni lazima utakuwa na timu yako ya kupost kwenye social media. Rais ni ofisi kubwa sio mara nyingi atapata muda wa ku draft meseji za matukio kama hayo.

Huyo atakuwa mfanyakazi wake
 
HILI NALO MLALITAZAME.

Nawaagiza akina Bashite na Kamanda Muliro mwende mkaliangalie hili kwa makini ili tujue tunakwenda vipi.

Tumeanza kusikia vijikelele kelele kutoka kwa wahujumu wa Taifa letu eti samia hajiwezi yuko ICU, mara hivi mara vile...wazushi na MAKHULUKUTABU. Mimi siwajibu naziba masikio kama CHURA JIKE.

Bashite nina imani na uzoefu wako wa kupiga mikwara na kufanya maigizo, nakuagiza uende ukanipiganie mama ako.

Kamanda Muliro nina imani na uzoefu wako wa kucheza JUDO, hivyo nakuagiza uende ukalifanyie kazi kisha uniletee ripoti yenye HADIDU REJEA.

Wewe ni KAMANDA, mimi ni MAMA. UKINIKUNA NITAKUKUNA.

Cc: Nyani Ngabu DR Mambo Jambo Poor Brain Mbaga Jr Kalpana chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Stuxnet FaizaFoxy Mshana Jr
Wafuatao ni Mahukhulkutabu😂😂😂😂😂😂.
Lema,
Lisu
Wenje,
Roma
Mange
Mbowe.
Mnyika.
Boni yai
Dr.Slaa.
 
Back
Top Bottom