Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

Rais wa JMT Mh Dr Samia amewatumia Salam za kheri ya Mitihani Wanafunzi wa kidato cha 4

Rais Samia ametuma salaam hizo Leo ambapo Mitihani inaanza na Asubuhi hii wanafanya mtihani wa Geography na Mchana Biology

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia

Mungu wa mbinguni awabariki Wanafunzi wa kidato Cha 4

Ahsanteni sana 😀🌹
Duh.!
 
HILI NALO MLALITAZAME.

Nawaagiza akina Bashite na Kamanda Muliro mwende mkaliangalie hili kwa makini ili tujue tunakwenda vipi.

Tumeanza kusikia vijikelele kelele kutoka kwa wahujumu wa Taifa letu eti samia hajiwezi yuko ICU, mara hivi mara vile...wazushi na MAKHULUKUTABU. Mimi siwajibu naziba masikio kama CHURA JIKE.

Bashite nina imani na uzoefu wako wa kupiga mikwara na kufanya maigizo, nakuagiza uende ukanipiganie mama ako.

Kamanda Muliro nina imani na uzoefu wako wa kucheza JUDO, hivyo nakuagiza uende ukalifanyie kazi kisha uniletee ripoti yenye HADIDU REJEA.

Wewe ni KAMANDA, mimi ni MAMA. UKINIKUNA NITAKUKUNA.

Cc: Nyani Ngabu DR Mambo Jambo Poor Brain Mbaga Jr Kalpana chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Stuxnet FaizaFoxy Mshana Jr
 
Rais wa JMT Mh Dr Samia amewatumia Salam za kheri ya Mitihani Wanafunzi wa kidato cha 4

Rais Samia ametuma salaam hizo Leo ambapo Mitihani inaanza na Asubuhi hii wanafanya mtihani wa Geography na Mchana Biology

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia

Mungu wa mbinguni awabariki Wanafunzi wa kidato Cha 4

Ahsanteni sana 😀🌹
Maneno haya si mageni jijini labda kwa wageni wa jiji....ila kwa wenyeji wa jiji ni maandishi ambayo tumeyazoea.
 
Back
Top Bottom