Makamba kawekwa kwenye kundi la wajane?Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam...
Alimfanyia nini mwenzie kwenye kiti mbona hajiaminiAs usual
Ulichokiona ni nini hadi umpe daraja la upendo na kuheshimu utu.Rais mwenye upendo na mwenye kuheshimu utu. safi sana
Mama bado anaamini corona ipoKwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam
Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba nyumbani kwake Wazo Jijini Dar es Salaam
Vilevile Rais Samia amemtembelea kumsalimia na kumjulia hali Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam
View attachment 2688103
View attachment 2688104
View attachment 2688105
View attachment 2688106
View attachment 2688107
Vipi Kwa Janetth Magufuli anaenda lini?Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam
Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba nyumbani kwake Wazo Jijini Dar es Salaam
Vilevile Rais Samia amemtembelea kumsalimia na kumjulia hali Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam
View attachment 2688103
View attachment 2688104
View attachment 2688105
View attachment 2688106
View attachment 2688107
Full pendo. Yaani watu wenye tamaa wangetukosesha Rais mzuri sana wallah.Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam
Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba nyumbani kwake Wazo Jijini Dar es Salaam
Vilevile Rais Samia amemtembelea kumsalimia na kumjulia hali Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam
View attachment 2688103
View attachment 2688104
View attachment 2688105
View attachment 2688106
View attachment 2688107
Sasa sindio kiti Cha urais!,......Anatembea na kiti chake?
ExactlyF
Full pendo. Yaani watu wenye tamaa wangetukosesha Rais mzuri sana wallah.