Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni wanafunzi wa makundi ya 06/22 - BMS na 72/24 - Regular wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).