Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Sidhani kama ataongea leoLeo sijui atatoa boko gani
huyu mpumbavu tu nchi hii hatuna raisi hiki ni kikundi cha wahuni wanao miliki siraha hakuna serikaliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni wanafunzi wa makundi ya 06/22 - BMS na 72/24 - Regular wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Nani anafuatilia puuzi hilo!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni wanafunzi wa makundi ya 06/22 - BMS na 72/24 - Regular wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Kashatoa mbona, 😂😂😂😂Leo sijui atatoa boko gani
Amesemaje? Hivi katiba inasemaje nchi inapoongozwa na taahira na mkajua kabisa kwamba ni taahira?Kashatoa mbona, 😂😂😂😂
Kawashukuru wananchi wa Arusha kwa kupata kura nyingi ktk uchaguzi uliopita, hadi watu wa mataifa ya nje, wanamuuliza imekuaje akapata ushindi mnono hivyo, yeye anasemaje "hamjui tu natamani mngekuepo mkaona wananchi wangu wananikubali"Amesemaje? Hivi katiba inasemaje nchi inapoongozwa na taahira na mkajua kabisa kwamba ni taahira?
Hili jitu ni taahira!Kawashukuru wananchi wa Arusha kwa kupata kura nyingi ktk uchaguzi uliopita, hadi watu wa mataifa ya nje, wanamuuliza imekuaje akapata ushindi mnono hivyo, yeye anasemaje "hamjui tu natamani mngekuepo mkaona wananchi wangu wananikubali"
Kheeeeh ngachoka neneee.
Tunakesha kama CNNWazee wa cnn kwani wanasemaje
wakati mwingine siielewi jf, wanakufungia halafu unawapa nafasi kujitangaza kwa kusambaza habari zao humu kila mahali? i mean, they dont even like you to begin with ...
Labda leo atatoa boko haramuLeo sijui atatoa boko gani