Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Tunaacha mambo ya msingi kama uchaguzi wa serikali za mtaa. Tumeshindwa kushughulikia changamoto zake tunakimbilia G20 na kusema tumekuwa.....

Maendeleo yanaanza serikali za mtaa ndipo watu walipo tumepuuza na wagombea wanakatwa hivyo pasipo na sababu ya msingi, eti tumekuwa kidiplomasi?

Wasimamizi wameshindwa TU kujua maana ya ujasiriamali na kuwaengua wagombea je wataweza kujua ya G20.

Serikali yetu haipo serious kabisa
 
Wee zoba kweli, wenzako hayo maparachichi wameyalima ili wayauze nchi za Ulaya na China ambako hawajapata soko, wewe na ujinga wako unasema hayana maslahi kwa nchi! Mjinga kweli.
Pamoja na kwamba unaropoka tuu ila jitakujibu hivyo hivyo Kwa uropokaji wako.

Una hakika hawajapata soko Ulaya? Pili ziara ya Rais ni pamoja na kuwatafutia masoko.
 
Tunaacha mambo ya msingi kama uchaguzi wa serikali za mtaa. Tumeshindwa kushughulikia changamoto zake tunakimbilia G20 na kusema tumekuwa.....

Maendeleo yanaanza serikali za mtaa ndipo watu walipo tumepuuza na wagombea wanakatwa hivyo pasipo na sababu ya msingi, eti tumekuwa kidiplomasi?

Wasimamizi wameshindwa TU kujua maana ya ujasiriamali na kuwaengua wagombea je wataweza kujua ya G20.

Serikali yetu haipo serious kabisa
Nani ameacha ?
 
Ushawishi wa kidiplomasia na ndio maana unaona watu wetu wanapata nafasi kubwa kubwa huko Duniani.

WB Director
WHO Director
IPU president

Tunapenyeza ajenda za maslahi ya Nchi
Sema kupasiana Channel na Connection za ulaji kwa walio juu huko wewe kapuku ukawe Director WHO toka lini?
 
Hao G20 wanahisumbua tu, Tanzania ni Ngoma ngumu!! Hawatutishi wala hawatubabaishi
 
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Ujinga tu...sasa misimamo yao imewafikisha wapi?
 
Tunaacha mambo ya msingi kama uchaguzi wa serikali za mtaa. Tumeshindwa kushughulikia changamoto zake tunakimbilia G20 na kusema tumekuwa.....

Maendeleo yanaanza serikali za mtaa ndipo watu walipo tumepuuza na wagombea wanakatwa hivyo pasipo na sababu ya msingi, eti tumekuwa kidiplomasi?

Wasimamizi wameshindwa TU kujua maana ya ujasiriamali na kuwaengua wagombea je wataweza kujua ya G20.

Serikali yetu haipo serious kabisa
Pesa za kufanya huo uchaguzi unatoka huko G20 sasa kwanini asiende mbio..
 
Alafu baada ya kualikwa na kuhudhuria inakuaje
 
Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu.

Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya pili kualikwa kwenye ngazi kubwa ndani ya kipindi chake kwani Aliwahi alikuwa kushiriki mikutano wa BRICS huko South Africa.

Miaka ya nyumba JK na Marehemu Mkapa wamewahi alikuwa Kuhudhuria Mikutano ya G8.

My Take: Tanzania inazidi kuonesha Nguvu yake kidiplomasia Duniani.

==============

View attachment 3151819

For the first time in history, Tanzania will participate in the G20 Leaders’ Summit, with President Samia Suluhu Hassan set to represent the nation in Rio de Janeiro, Brazil, on 18th and 19th November 2024. This year’s summit, themed “Building a Just World and a Sustainable Planet,” follows an invitation from Brazilian President Luiz Inácio Lula da Silva.

President Samia’s attendance marks a significant milestone, as she becomes the first Tanzanian and the first female Executive President of Tanzania to attend a G20 Leaders' Summit since the group expanded from G8 in 2009. Previously, Tanzania was represented at G8 summits by former leaders Benjamin Mkapa and Jakaya Kikwete in 2005 and 2008, respectively.

Tanzania’s participation underscores its growing influence and commitment to addressing critical global challenges, including climate change, poverty, and food security. The country hopes to use this platform to attract partnerships and funding for initiatives such as clean cooking, renewable energy, climate-smart agriculture, and sustainable economic development.

This summit is expected to strengthen Tanzania’s global profile and support its development goals through strategic international cooperation.

The Citizen
Sidhani kama utakuwa umefanya utafiti wa kina Sana kuhusiana na masuala ya mialiko ya watu au viongozi kwenye mikutano ya taasisi kama hiyo ya G20.
 
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Kwa watu wenye akili hawawezi kumwalika mtu kama Jiwe, huyu alikuwa kituko na alifika mahali akajiita kichaa. Kwa Gaddafi siwezi sema sana maana sikuwahi kuwa chini ya utawala wake
 
Rais Samia amealikwa kushiriki mkutano wa Viongozi wa G20

Screenshot_20241114-095449.png

Rais Samia Suluhu Hassan amealikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 utakaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil kuanzia Novemba 18 hadi 19, 2024 ukiwa na kauli mbiu inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’.

Mwaliko huo umetolewa na Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil ambapo Rais Samia atakuwa ni Rais wa kwanza mwanamke kuwahi kuhudhuria mkutano wa viongozi wa G20 na Rais wa kwanza wa Tanzania kuhudhuria mkutano huo wa viongozi wa G20 tangu kupanuka kwa kundi hilo kutoka G8 hadi G20 mwaka 2009.

Ushiriki wa Rais Samia katika mkutano wa viongozi wa G20 unaashiria kuongezeka kwa ushawishi na mwonekano wa Tanzania katika jukwaa la kimataifa na ukuaji wa diplomasia na sera za uwekezaji nje ya mipaka ya Tanzania.

G20 inajumuisha nchi 19 ambazo ni Argentina, Australia, Brazil, Canada, China, Ufaransa, Ujerumani, India, Indonesia, Italia, Japan, Jamhuri ya Korea, Mexico, Urusi, Saudi Arabia, Afrika Kusini, Uturuki, Uingereza na Marekani pamoja na mashirika mawili ya kikanda ambayo ni Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika (AU) hadi mwaka 2023

Sifa mojawapo ya nchi wanachama wa G20 ni kwamba zinawakilisha takribani asilimia 85 ya Pato la kimataifa, zaidi ya asilimia 75 ya biashara za kimataifa na karibu theluthi mbili ya watu duniani hii ni fursa kubwa ya kufungua milango ya uwekezaji kwa Tanzania.

HABARI: BONGO FIVE
 
Sawasawa,,,, asiende kupayuka kama Rango sasa,,,,akaseme naona kuna vijimaneno maneno kwamba marekani imemkataaa Kamala Harris kuwa raisi sababu ni mwanamke, naomba niwaambie wamerekani wanione mimi mwanamke na ninaongoza nchi yangu vizuri sana, mauaji ya wapinzani yako juuu, uchafuzi wa uchaguzi, rushwa na ufisaidi,, nimeuza bandari na mbuga za wanyama, pia ninapambana kufukuza wamasai….😇….
Kwa hiyo wamarekani wasiogope kwanza hakuna raisi mwanamke ni raisi mwenye jinsia ya kike….
G20 Hoyeeeee
 
Back
Top Bottom