Pamoja na kwamba unaropoka tuu ila jitakujibu hivyo hivyo Kwa uropokaji wako.Wee zoba kweli, wenzako hayo maparachichi wameyalima ili wayauze nchi za Ulaya na China ambako hawajapata soko, wewe na ujinga wako unasema hayana maslahi kwa nchi! Mjinga kweli.
Nani ameacha ?Tunaacha mambo ya msingi kama uchaguzi wa serikali za mtaa. Tumeshindwa kushughulikia changamoto zake tunakimbilia G20 na kusema tumekuwa.....
Maendeleo yanaanza serikali za mtaa ndipo watu walipo tumepuuza na wagombea wanakatwa hivyo pasipo na sababu ya msingi, eti tumekuwa kidiplomasi?
Wasimamizi wameshindwa TU kujua maana ya ujasiriamali na kuwaengua wagombea je wataweza kujua ya G20.
Serikali yetu haipo serious kabisa
Sema kupasiana Channel na Connection za ulaji kwa walio juu huko wewe kapuku ukawe Director WHO toka lini?Ushawishi wa kidiplomasia na ndio maana unaona watu wetu wanapata nafasi kubwa kubwa huko Duniani.
WB Director
WHO Director
IPU president
Tunapenyeza ajenda za maslahi ya Nchi
Ruto kamtuma MudavadiUshawishi wa kidiplomasia na ndio maana unaona watu wetu wanapata nafasi kubwa kubwa huko Duniani.
WB Director
WHO Director
IPU president
Tunapenyeza ajenda za maslahi ya Nchi
Mikopo,mikopo ,mikopo.Subiria matokeo ya ziara,Samia hajawahi na hafanyagi ziara za hasara
Ujinga tu...sasa misimamo yao imewafikisha wapi?Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Pesa za kufanya huo uchaguzi unatoka huko G20 sasa kwanini asiende mbio..Tunaacha mambo ya msingi kama uchaguzi wa serikali za mtaa. Tumeshindwa kushughulikia changamoto zake tunakimbilia G20 na kusema tumekuwa.....
Maendeleo yanaanza serikali za mtaa ndipo watu walipo tumepuuza na wagombea wanakatwa hivyo pasipo na sababu ya msingi, eti tumekuwa kidiplomasi?
Wasimamizi wameshindwa TU kujua maana ya ujasiriamali na kuwaengua wagombea je wataweza kujua ya G20.
Serikali yetu haipo serious kabisa
Ken-vant ni mbaya sana!Hao G20 wanahisumbua tu, Tanzania ni Ngoma ngumu!! Hawatutishi wala hawatubabaishi
Sidhani kama utakuwa umefanya utafiti wa kina Sana kuhusiana na masuala ya mialiko ya watu au viongozi kwenye mikutano ya taasisi kama hiyo ya G20.Tanzania imealikwa Kuhudhuria Mikutano wa G20 huko Brazil ambapo Rais Samia ataiwakilisha Nchi kuanzia baadae mwezi huu.
Hii inakuwa ni mara ya kwanza Kwa Tanzania kualikwa kwenye G20 na mara ya pili kualikwa kwenye ngazi kubwa ndani ya kipindi chake kwani Aliwahi alikuwa kushiriki mikutano wa BRICS huko South Africa.
Miaka ya nyumba JK na Marehemu Mkapa wamewahi alikuwa Kuhudhuria Mikutano ya G8.
My Take: Tanzania inazidi kuonesha Nguvu yake kidiplomasia Duniani.
==============
View attachment 3151819
For the first time in history, Tanzania will participate in the G20 Leaders’ Summit, with President Samia Suluhu Hassan set to represent the nation in Rio de Janeiro, Brazil, on 18th and 19th November 2024. This year’s summit, themed “Building a Just World and a Sustainable Planet,” follows an invitation from Brazilian President Luiz Inácio Lula da Silva.
President Samia’s attendance marks a significant milestone, as she becomes the first Tanzanian and the first female Executive President of Tanzania to attend a G20 Leaders' Summit since the group expanded from G8 in 2009. Previously, Tanzania was represented at G8 summits by former leaders Benjamin Mkapa and Jakaya Kikwete in 2005 and 2008, respectively.
Tanzania’s participation underscores its growing influence and commitment to addressing critical global challenges, including climate change, poverty, and food security. The country hopes to use this platform to attract partnerships and funding for initiatives such as clean cooking, renewable energy, climate-smart agriculture, and sustainable economic development.
This summit is expected to strengthen Tanzania’s global profile and support its development goals through strategic international cooperation.
The Citizen
Huu ni upunguaniUshawishi wa kidiplomasia na ndio maana unaona watu wetu wanapata nafasi kubwa kubwa huko Duniani.
WB Director
WHO Director
IPU president
Tunapenyeza ajenda za maslahi ya Nchi
Kwa watu wenye akili hawawezi kumwalika mtu kama Jiwe, huyu alikuwa kituko na alifika mahali akajiita kichaa. Kwa Gaddafi siwezi sema sana maana sikuwahi kuwa chini ya utawala wakeWanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Not your a useless element, it's you are a useless element.Your a useless element, you should be dropped to the toilet.