Rais Samia aweka historia kwa Tanzania kualikwa kwa mara ya kwanza kuhudhuria Mkutano wa G20

Wambie wambie hao
Haya mambo Yako Nje ya uwezo wa akili Yako.Maslahi ya Nchi ni zaidi ya maparachichi Yako.

Mwisho hater mtateseka sana na Bado.
Wambie! Waambie hao!
Kwa utawala huu watateseka sana!
Hongera kwako kwa kuwa mkweli.
 
"Elfuminea" aalikwe ktk kikao cha "milioneaz", unadhani atajisikiaje na atarajie nini?
 
Kwa hakika Rais Samia ni Chaguo la Mungu na ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.Utashangaa CHADEMA waanza kuona wivu na akili zao ndogo. Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tu.
 
Huu ni mkutano wa kwanza wa G20 kuikaribisha AU, Tanzania nayo ni mwanachama wa AU.
G20 haijaialika Tanzania imeialika AU ikiwemo Tanzania na wanachama wote wa AU, usitufanye wajinga.
 
Huu ni mkutano wa kwanza wa G20 kuikaribisha AU, Tanzania nayo ni mwanachama wa AU.

G20 haijaialika Tanzania imeialika AU ikiwemo Tanzania na wanachama wote wa AU, usitufanye wajinga.
Kwa hiyo Tanzania ni Mwenyekiti wa AU? Au Ina members wangapi hadi Tanzania pekee ndio inaonekana?

Wivu kisa Mama anachanja mbuga 😆😆
 
Wameona Tanzania ni shamba la bibi. Vigogo wa G20 wameoa kuna nafasi kubwa ya kufanikisha dili za kimagumashi kiulaini na Tz.
 
M
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Mawazo yako, ht hivyo mtu km Magu angetuaibisha tu, hajui diplomasia, ht lugha yenyewe angetumia lugha ipi, kiingereza hata kusoma ni shida, hawezi kuyatamka maneno inavyotakiwa. Kule huendi kukaripia au kutoa order za kijinga
 
Hivi Rais wa Nchi ambayo sio mwanachama wa G20 akialikwa kwenye hiyo mikutano, huwa anapewa nafasi ya kuwasilisha mihadhara au anakuwa msikilizaji tu?

Na hili jambo Lina matokeo yapi chanya Kwa Nchi mwalikwa?
Rais wa nchi ana heshima yake, lazima atoe mhadhara ktk maudhui husika
 
N
Kwa hiyo Tanzania ikihudhuria huo mkutano unalipwa per diem wewe??inamsaidia nini mkulima wa maparachichi kwetu Kyela ambaye maparachichi yake yanaozea shambani?una kiwango gani cha Elimu kwanza??
Mawazo ya kijinga, ya watu wenye IQ ndogo sn.
 
Hata sisi huwa tunawaalika sabasaba
 
Wee zoba kweli, wenzako hayo maparachichi wameyalima ili wayauze nchi za Ulaya na China ambako hawajapata soko, wewe na ujinga wako unasema hayana maslahi kwa nchi! Mjinga kweli.
Umemjibu vizuri, alitaka ayale na mke wake? Ndio maana ht biblia imelaani ujinga, biblia inatuambia "katafute sn elimu angalia usiache akaenda zake"
 
Hivi Rais wa Nchi ambayo sio mwanachama wa G20 akialikwa kwenye hiyo mikutano, huwa anapewa nafasi ya kuwasilisha mihadhara au anakuwa msikilizaji tu?

Na hili jambo Lina matokeo yapi chanya Kwa Nchi mwalikwa?
Swali tamu sana hili,
 
Wanajua wa kumualika.Hawawezi kuthubutu kwa Ibrahim Traore.Wala wasingethubutu kwa JPM au Gaddafi wote hawa walikubali kufa wakiwa wamesimama badala ya kuishi wakiwa wamepiga magoti kwa mabeberu.
Poleni sana kwa thinking zenu kuwa prohibited kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…