Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

Kuna tetesi kuwa hakuwa mmalawi
Kwa mantiki hiyo, unataka kutuambia kuwa hata majina yake aliyabadilisha? Kama unavyo fahamu, majina na lafudhi ya lugha ya makabila yana utambulisho wa mtu. Huyu Bwana alitwa Hasting Banda, na akina Banda ni watu wa Nyasaland. Ebu weka nyama tuelewe.
 
Inasemekana Rais wa kwanza wa Zanzibar alikuwa na asili ya Malawi. Hawa ni ndugu zetu.

Amandla...
 
Banda ni moja ya viongozi bogus waliowahi kuwepo Africa sawa na Mugabe na mobutu
 
Kwa mantiki hiyo, unataka kutuambia kuwa hata majina yake aliyabadilisha? Kama unavyo fahamu, majina na lafudhi ya lugha ya makabila yana utambulisho wa mtu. Huyu Bwana alitwa Hasting Banda, na akina Banda ni watu wa Nyasaland. Ebu weka nyama tuelewe.
Huyu mtu alisema kuwa aliondoka utotoni kwenda kutafuta masomo. Ila alirudi akiwa mkubwa na haelewi rugha za malawi. Kunaandiko nimelisoma leo kuwa banda aliyerejea hakuwa yeye kwani banda aliyeondoka hakuwa na kidole gumba ila wazazi wa banda walitishwa wasitoe siri hiyo.
Nilichowahi kukisikia wakati furani ni kuwa kwenye mkutano wa pan african ulio waunganisha wanataaluma waliopo nje huyu jamaa alinuachia Nandi Azikiwe kupigania uhuru wa Nigeria, Nkurumah akaenda Gana na yeye akaenda malawi ijapo kuwa hakuwa mmalawi.
Haiiingii akilini kabisa ni kwanini banda hakuwahi kuelewa rugha za wamalawi na alikuwa akiongea kiingereza tuu.
 
Huko si alienda yule mwamba wakati akirudi ndo bomu la kiasili likalipuka?

Tokea hapo hali ikawa tete ?
 
ulitaka hiyo safari afanye mamako? mmejaa chuki za kipumbavu ila hmna la kufanya mapaka 2030, nyoko
Wewe ni Mungu aliyeziumba mbingu na nchi? Ungekuwa Mungu au nabii walau basi ungefahamu majira na nyakati na nini kitatokea kesho
 
Tiketi ya chama ndio kitambulisho pekee kinachompa mwanachama nguvu mjini,hawezi mwelewa mtu anayezungumza masuala ya kitaifa kwa ajiri ya Taifa,. , Ukiwa mwanachama ukiambiwa Sasa hivi tunapiga kule ,wewe unapiga tu ,Sasa hivi tusimame,wewe unasimama,,,urithi pekee kwenye kichwa chako ni hisia za mwenyekiti wa chama. Akimnunia flani na wewe unanuna, akimchekea na wewe unacheka,, akiongea pumba unapiga makofi,,,,,,mmerithi wakati na hisia za mwl Nyerere bila kujua kwamba Taifa linaendelea, think independently bro!!!
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom